NIKIWA NA SAIDA MASHAUZI MDOGO WAKE ISHA MASHAUZI KWENYE INTERVIEW LEO, BAADA YA NDOA YAKE KUVUNJIKA JUZI BAADA YA KUDUMU MIEZI MITANO, KISA MUME HATAKI AENDELEE NA KAZI YAKE YA KUIMBA TAARAB KAZI KWELI KWELI. .....

Thursday, October 10, 2013 6 Comments

6 comments:

 1. kazi ndio kila kitu katika maisha saida , maisha ya kudepend upande mmoja yashapitwa na wakati, sasa hivi wanawake tumeamka tunajishughulisha kwa bidii zote mama,zidi kumuomba mungu akupe moyo wa uvumilivu na subira kwa kipindi iki kigumu yote yataisha,mimi nakufeel sana na nyimbo zako unajua kuimba upo juu,nakuombea kila la kheri katika maisha yako.

  ReplyDelete
 2. dida nakupenda sana ila nakushauri tafadhali usimetishe sana frm up to down haipendez japokuwa ni vyako@ushaur tu usichukie mamii

  ReplyDelete
 3. Mwambie Saida, hilo ni tatizo dogo sana lakini yeye anataka kulikuza. Ni lazima amsikilize na amtii mumewe, akae atulie katika ndoa yake, huku akimbembeleza bembeleza mumewe kidogo kidogo kila anapota nafasi, yeye ni mwanamke lazima ajue jinsi ya kubembeleza, hasa wanapokuwa faragha, ipo siku atalainika na atamruhusu kuimba japo kwa masharti. Kila ndoa ina mitihani yake, asilazimishe sana kufanya anachotaka yeye, akumbuke kuna radhi ya mume. Mwanamke bila ndoa hata ukiwa bilionea, haujakamilika bado.

  ReplyDelete
 4. kwani kabla ya kuoana hawakuwekeana mambo wazi?,..

  ReplyDelete
 5. mi bwana gauni lako tafadhali nambie km lipo dukani kwako niambie

  ReplyDelete
 6. Bado katoto lakini, kaolewa huyo mie naona kakurupuka alipaswa awe darasan ,.

  ReplyDelete