DIAMOND NA WEMA KUTOKA NA MOVIE? ???!!

Thursday, October 10, 2013 19 Comments

Hii imekuja baada ya Diamond ku-post katika account yake ya Instagram kua wako katika Zoezi la kushoot movie mpya iitwayo TEMPTATIONS yeye na Wema  huko China. Haya tusubiri tuone....

19 comments:

 1. Dada yangu wewe hayo mapenzi Yao waachie wenyewe maana wema na diamond wanapenda na sasa wewe angalia yako na mumeo

  ReplyDelete
 2. Hmm ngoja tuone..lakini kwanini asubiri picha zitoke ndo aseme wanafanya movie? Watu walivyosema wako wote china kwanini hakusema wanafanya movie?? Kweli kama karudiana na wema kimapenzi...atakua wa ajabu sana....pamoja na huyo wema na kurekodiwa kote???? picha zote zimekaa kimahaba hakuna scene nyingine? Zote za kimahaba tu?

  ReplyDelete
 3. mh haya tusubirie iyo movie maana tumechoka na drama ,wasanii wetu hawa siku hizi hakunaga ,bora enzi zenu zile za kaole, tusije sikia tu wamerudiana kwa mapenz moto moto

  ReplyDelete
 4. Moviee? Mmmhh! wajinga ndiyo waliwao! Pole Penny ila uliyataka mwenyewe.

  ReplyDelete
 5. He Dida kwenye hiyo movie atakuwepo na huyo babu wa kichina????? he hehe heiiya Dida wee hakuna asiye jua kusoma picha. Hapo na mabegi wameshikana kimahaba hivo hakuna dalili ya kurekodi movie. anyway hata kama walienda kurekodi movie lakini walitumia fursa kulana hao hamna lolote

  ReplyDelete
 6. Penny unawakati mgumu sana whether ni movie au lah lkn upo kwenye wakati mgumu sana mpnz na mastaa ni pressure tupu

  ReplyDelete
 7. Muache na yeye akome alivyoingilia penzi l mwenzake?tena shemeji yake!ni mchafu sana Penny!Mimi siwapendi watu anaoingilia ndoa za watu au mapenzi ya watu hasa mkiwa marafiki!ukiona hivyo yeye alipoona kuwa wamekosana akatumia mwanya huo kuingilia mapenzi kati ya wema na diamond na ktk mapenzi kama mnapendana kweli mtarudiana tu hata mkitukanana sana na kukashfiana!nani kakwambia mpenzi ana talaka?Peny ulie u ulshindwa kutafuta wako ukmamsubiria wa rafiki yako!Tena ushukuru Wema si mshari angekuwa Sinta ungekoma au hata Dida wewe mwenyewe pangechimbika sana!Kama Diamond na Wema mnapendana nyie msiume mioyo yenu nyie pendani tumana kuna msemo "kipenda roho"hula .............kwanza Wema ni mzuri kuliko hako ka Peny kifua kajazia kama mpiga ndondi!

  ReplyDelete
 8. Wamendezaje jamani Wema na Diamond?tuseme ukweli jamani palipo la penzi la dhati hapakwepeki hata siku moja!kumbuka ni kweli Penny aliingilia penzi la Wema na iujulikane kuwa Wema alikuwa ni rafiki wa Penny matokeo yake nadhani Penny alijitongozesha kwa Diamond pale alipoona kuwa Wema wamekosana na Diamond!

  Penny utakoma kulinga jua wao wanapendana sana!kusoma hujui hata picha!pole sana weee! Penny anajidai ooh sijali maneno ya watu eti diamond ni wangu maneno ya watu siyasikilizi wakati wewe ndo umeingilia mapenzi ya watu!Muone ni kama huyo mchangiaji aliesema kuwa kifua kama bondia matumla!mcheck wema walivyopendeza na Diamond hadi wanavutia sio wewe Penny umekomaa sana kifuani kama dume!

  ReplyDelete
 9. KIFUPI DIDAAAH UNABATA COMMENT NYINGI SANAAAAA. BUT ME NAMWAMBIAA TUUU KAKA ATULIE NA JEMBELE LAKEE TENA SANA. KWANI KILA MTU ANALIVIZIA KIMJINI MJINI. LAKINI WEMA NAMPA BIG UP HUO NDIO MSIMAMO WA MWANAMKE WA KWELII.

  ReplyDelete
 10. dahhhhh dimoooooo nomaaaaa. kweli mimi kama mwanamme lakini ningempata mwanamke kama wema kwanza ningelinga heeeee mwanamke mvumilivu kama diamond mpaka kauonyesha dimooooo. dimoooooo heeeee huyo ndio mke aliye kwambia babako daaah washkaji wenyewe wa tandale tumekubaliii kweli wema jembeeee mvumilivuuu wa mtukiyooo

  ReplyDelete
 11. Kinyago cha MPAPUREE penny, kaisha achwa solembaa...zumbukukuuu, sasa subiri uone birthday dinner ya diamond na wema , wewe siuliambiwa yuko cocacolaaaa...ukaandaa maua kitandani kama suprise na wakati mwenzio alitoka kula raha na madame..

  ReplyDelete
 12. Wema and diamond are forever. .they really love each other, so lovely couple, cute cute cute meeeeennn......! This is it

  ReplyDelete
 13. dida my shosty leoooo hiii achukuliwe enz........ na shoga yako mpenzi inanoga kweliiiiii mmmmmmmm jamani tuangalie hata matukio tusivamie tu. lazima baadaeeee enz........ arudi kwa D wake ....eeeeeeh binadammm tujue utuuuu tusishangilie tu kwa sababu alijakukumba au alijawai tokea familia yakoooo heeeeee penny mimi nakushauli kama mtanga mwezio na mwislam mwezio na nakupenda my dada lakini muombe wema msamaha wallah muombe wallah. kama usipomuoma penny mdogo wangu . mungu atosha kuliko uganga. mapenzi ayana uganga penny wallah ni mungu tu anamua hawa ndio niwaunganishe dam. kama dida unaona kakukuruka lakini sasa kapata masifa mwezie huyo ni mungu mammyna sote basiiii vita nayooo twaesabia peni mupmbe wema msamaha wallah. heeeeeee.

  ReplyDelete
 14. kiroho safi. siko kwenye team yeyote. ila mambo ya diamond ni kudhalilishana wanawake big tym. huyo peny kweli kakosea sana kuchukua mwanamume wa shoga yake. mm nakupenda sana Dida yaan ww ndiyo mfano how women should behave. mwanaume hatakiwa kukupelekesha. ukiona ana kuzingua unapiga chini maisha yanaendelea. tatizo huyo penny huyo mwanaume na makshfa yote hayo usishangae akamrudia na kumwambia ni uwongo na akakubali. yaan upuuzi na ujinga kwelikweli. kama kweli huyo diamond ameenda china kutrecord movies kam anavyodai kwann hata ww penny usingeenda n ahuyo mpenzio? huko USA will smith akiwa location na wanawake warembo shurti mkewe naye yupo naye bega kwa bega. abiria chunga mzigo wako ati. ila sasa kama huo mzigo ni diamond kazi unayo. huyo diamond hawaeshimu hata kidogo anawapelekesha kama mikokoteni. na nyie jinsi msivyopenda kujishughulisha kama dida wangu hapa basi mnakubali kuchanganywa kama mayai viza. looh amkeni tafuten pesa zenu wenyewe muheshimike. mm mnanikera kweli. drama dram zisizokwisha hadi aibu. na kwanza mm nakushangaa wewe penny mwanaume hajakuoa umeshahamisha na mabegi eti unaishi naye kama mume na mke. looh aibu

  ReplyDelete
 15. Movie hii itakuwa kama ile ya mume wa Irene Uwoya Ndikumana alipocheza na Lucy Komba yaani wawili tu, mmoja adui mwingine kubwa la maadui......heheiyaaaa, yetu macho na masikio...wambea mpoooo!!

  ReplyDelete
 16. wallah mji huu una raha! hya hiyo ya mume wa irene uwoya na lucy komba ilikuaje? mnijuze mwenzenu mgeni mjini hapa

  ReplyDelete
 17. Wanayafanya haya ili wasipotee ktk ramani wafanyabiashara ni wajanja sana, tayari wameshakua habari ya mjini. hawatachuja kirahisi

  ReplyDelete
 18. Dida najua ww Penny ni mdogo wako hajielew anajitia uisilam wakati ni mkristu na alijiingiza kweny ulokole anacheza na mungu huku kila Ijumaa anachinja mbuz ili akikinge na wema na amkamate Diamond kiko wapi?Anadanganywa mjin hamma mganga baelezee watoto dida

  ReplyDelete
 19. haaaaaaaaaaa kazi ipo mjini

  ReplyDelete