BAADA YA KUTOKA EDA WANAUME WAANZA KUMSUMBUA BI KHADIJA KOPA....

Thursday, October 24, 2013 5 Comments

Mjengoni leo akitiririka amesema hawezi kupata mwanaume kama mumewe wanaume wengi magumegume watamlia tu pesa zake hatareeee.....

5 comments:

 1. mashaalah sina la zaid ila nakuombea mema umepndeza Dida .nimefurah kumwona bi Khadija kamaliza eda yake .Mola amweke pema mwandani wake ndo njia ya wote kutangulia ndo kunatuumiza Mola akuongoze na ukitamani kuolewa akupe wa kheri kama huyo alotangulia au zaid yake

  ReplyDelete
 2. NAKUPA HONGERA NA KILA LA HERI KWa kuzaliwa mola akujaalie kila la kheri na akupe ndoa yenye NURU ZAID YA ILIVYO AWAPE UMRI NA MAPENZI ,HAKUNA ZURI LISILO NA KASORO HAKUNA MTT ASO WAHI KUMKOSEA MZAZI NA HAKUNA NDOA YENYE FURAHA ILA FURAHA HUJENGWA NA FUAHA

  ReplyDelete
 3. Dida nguo ulizokua unatupia juzi kati zilikua zinakutoa sana, ila hii ya leo unarudi kule tusikokupenda, hazikupendezi hata kidogo.

  ReplyDelete
 4. We usijaribu kumwambia hivyo, we msifie tu hata kama kachukiza. Watu humu wanataka umsifie tu usimtoe kasoro.

  ReplyDelete
 5. Naomba utuwekee na picha ya mtoto wako mwingine (mtoto wa kiume wa Edzen) tumuone maana Samira tunamjua.

  ReplyDelete