AHSANTE HUBBY UMENIPA FURAHA SANA USIKU WA LEO NITAKUPENDA MILELE DAIMA.......

Wednesday, October 23, 2013 8 Comments

8 comments:

 1. hongera umependeza na gaun yako mwaya, kwel shem anakupenda jaman ajifichi usoni always anatabasamu,all the best mamy!Na mie siku nikipata mchumba ntakuarika uje unipe maksi ,mana couple yenu naizimikia sana.

  ReplyDelete
 2. happy for u dida!!! mumeo anakujali sana!

  ReplyDelete
 3. happy birthday DIDA next year nitakutafuta tule bata kwa pamoja kwa sababu mimi na wewe tulizaliwa tarehe 22/10 enzi hizooo nahisi kinywaji kitamu hicho utafikiri maziwa naomba jina lake tafdhali all the best mwanamke mtafutaji

  ReplyDelete
 4. umeniudhije? ulikosa pamba za kuvaa? mmh umevaa kiswahiliiiii

  ReplyDelete
 5. Happy birthday mamitooooo!! Mwenyezi mungu akupe umri mrefuuuuu inshaallah!! Pili aogwa

  ReplyDelete
 6. She didn't dress kiswahili as u said, wewe fala hapo juu 3:36PM yuko sawa. By the way ulitaka avae trouser??? Why don't u write in english, so that we can know ur not a swahili. Think before u write msonyooo. Nakupenda Dida and be blessed with ur marriage.

  ReplyDelete
 7. Jamani nimefurahi kumuona Abdallah bado kibonge kama alivyokuwa nimefurahi sana msalimie.rfk yake wa primary

  ReplyDelete
 8. happy birthday mycousin...msalimie dullah..nimependa pozi lako la "hakatwi mtu hapa"....ha ha ha haaaaaaa

  ReplyDelete