EBSS IS BACK 2013 NA MCHAKATO WA DAR

Tuesday, July 23, 2013 2 Comments

Lile shindano la kutafuta vijana wenye vipaji vya kuimba maaruf kama EPIC BONGO STAR SEARCH au EBSS limerudi tena na leo hii mwandaaji wa shindano hilo maarufu nchini aitwae Ritha Paulsen alitembelea studio zetu za Times Fm 100.5 na kufunguka ndani ya kipindi cha MITIKISIKO YA PWANI.

Madam Ritha ndani ya Mitikisiko Ya Pwani

Hapa nikipozi nae kwa picha

Haya sasa vijana wenye vipaji vyenu muache kuimbia vyumbani muda umefika tena mwaka huu wa kwenda kuonyesha kipaji chako, huenda bahati ni yako mwaka huu. All The Best....

2 comments:

  1. MKO MWAAAAA
    MMEPENDEZA .DIDA UNAPENDEZA UKIVAA HIVYO.

    ReplyDelete