MUONEKANO WA DIDA TOKA NILIPOUMWA WADAU ALLIHAMDULILLAH NAMSHUKURU MUNGU.

Wednesday, June 26, 2013 8 Comments




Kwa raha zangu.

8 comments:

  1. Thank god, naona umeanza kujistili kidogo kidogo.ashukuriwe Mungu

    ReplyDelete
  2. Umepungua dida pole sana kwa kuumwa, umependeza sana hicho kikoti kiko dukani kwako? Nijibu plz. Me love u mingi mingi

    ReplyDelete
  3. Yani umependeza leo umeonekan kwel uko ofisini na mke wa mtu. Zile ngo robo hazivutii kwako kabisa. Pls endelea kupendeza hvyo.

    ReplyDelete
  4. pole sana dida mwenyezi mungu mkubwa, ila unazidi kupendeza kama vile hukuuumwa.. karibu tulikumissss..

    ReplyDelete
  5. pole mwaya shosti wangu,me sintah manongi ntakuja kukuona wkndd pole mumy

    ReplyDelete
  6. pole Dida tunamshukuru Mungu kwa kukuponya fanya kazi sasa.

    ReplyDelete
  7. unapendeza ila usivae nguo fupi sana zinakudhalilisha vaa kiheshima utapendeza sana.

    ReplyDelete