LADIES AND GENTLEMEN I'M BACK....

Monday, June 24, 2013 14 Comments

Namshukuru sana Mungu kwa kunisimamia kipindi chote nilikua naumwa na wote ambao mlikua pamoja na mimi na sasa niko fresh. Poleni sana watu wangu kwa kukosa story kwa siku chache kipindi hicho lakini sasa tunaenda sawa mpaka mwisho. NAWAPENDA SANAAAAAAAAAAAAA 


14 comments:

  1. POLE DIDA MOLA MKUBWA ,MAANA NILIKUSOMA HUKO KWENYE MAGAZETI TA SOJUA WEMA WA MTU ,DIDA ACHUNGULIA KABURI
    WELCME BACK MAMY

    ReplyDelete
  2. pole Dida tulikumisije tukakosa mengi nawe ulikosa mengi pole sana maleria sio mchezo tena huuwa kuliko ukimwi
    sasa kaa kitako bibiii Ibada ndo nguzo yako kaa ulifika ukarudi tubia sasa

    ReplyDelete
  3. pole sana yani sisem aliyekurith kwenye kipindi alikuwa anafanya vibya hpn but the show wasn't the same km wewe unavyokuwepogo . But welcome again we all welcome yu na kukuombea uzidi kupt nguv mara dufu

    ReplyDelete
  4. Pole sana dear. Tunamshukuru mungu kwa kukuponya na kukurudisha tena kwetu. I real missed your posts. Karibuu sana sana.

    ReplyDelete
  5. Pole sana Dida ila tunaomba utuwekee picha ambazo ulikuwa hospital Amana

    ReplyDelete
  6. Welcome back dia na pole kuumwa. I missed you!

    ReplyDelete
  7. Sema alhadulillah kwani kuugua ni kukumbushwa uwepo wa mungu.Nimefarijika kuona post yako leo.Mungu azidi kkupa nguvu wakwetu.

    ReplyDelete
  8. UKOME JEURI MDOMO MREFU, UNAJIONA WEWE NDO WEWE. WATU WANAKUTIZAMA TU,OMBA REDHI KAMA KISA SUGU NA DIMPOZZ, HATA SHOGA YAKO MUUZA MATAMBARA NAYE YAMEMKUTA NA KAOMBA RADHI. ETI MALARIA NYOOOOOOO.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Khaaa!!.Usiniambie ugonjwa DD ww unahusika mbona mabig kwahiyo unataka kusema hajaomba radhi ndo ukampa juju?Huna lolote we mja tu na alichoumwa DD ni uwezo wa Allah akisema kuwa kinakuwa.
      Nawe DD mwambie huyo na wenzieHASBUNALLAH WANIGHMAL WAKIL.

      Delete
  9. Pole san double d kuumwa ni moja ya ibada pia muhimu kumshukuru muumba u r bak to yo feet alhamdullillah.

    ReplyDelete
  10. pole sana kumbe ulikuwa mgonjwa ,mungu akupe afya njema

    ReplyDelete
  11. Pole sana mdogowangu

    ReplyDelete
  12. Nashukuru sana wapendwa.... Tuko pamoja sana

    ReplyDelete
  13. pole sana kwa kuumwa na tunamshukru mungu kwa kukupa nafuu ya haraka na kurudi kwenye majukumu yao ya kila siku,we love u mingi mingi and miss u sana sana.

    ReplyDelete