Nae MZEE MASINDE ambaye
alikuwa nae katika kundi moja akiwa kama kiongozi wake amesema kashi ni msanii
huyo ambaye alikuwa mpiganaji na kwa hakika ni pigo kubwa katika tasnia hiyo.
Tunaona SANAA ya Tanzania bado inaendelea
kukumbwa na majanga, ikiwa si muda mrefu umepita tangu Mama mzazi wa DUDE,
msanii wa HipHop ALBERT MANGWAIR na Mume wa malkia wa mipasho Khadija Kopa
JAFARI ALLY wafariki dunia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most Popular Posts
-
AFUA SULEIMAN ATOKA NA MPYA "UNAJIDODO" BIBI LINAKUCHUKUCHA
-
SAMAHANINI KAMA NITAWABOA WALE WASOMI.SIO UGOMVI NI SWALI TU JIBU LINATAKA USHIRIKIANO USICHUKULIE KAMA MGOMO.
-
HAYA MANENO UNAWEZA KUNYWEA CHAI AHAAAAAA
-
MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI.... KHERI KWA KILA MTU
-
WADAU KWELI MIMI NI MTU MZIMA WALA SI KIPANDE NA SIJAFIKIA UTU UZIMA UOOOO SABABU SICHAMBII PANGA WALA SIPIGI DANADANA KWA MAKALIO,ILA NAPENDA NIWATOE HOFU NYIE MNAOJIFANYA MNANIJUA SANA KULIKO MAMA YANGU MZAZI NI HIVI NAMTAJA LIVE SABABU ANAJUA SIMUHOFII WALA SIMUOGOPI NA SINA SHARI NAE ILA AKIITAKA KWANGU ATAINUNUA KWA BEI RAHISI BILA YA VAT,SINTA NAKUTAJA NA NAJUA HUWEZI CHAMBANA NA MIMI HATA ROBO MAANA NITAKUPA UMAARUFU WA MUDA MCHACHE MAANA HATA WA KUTATIZA KATIKATI YA MSAFARA WA RAISI UTACHUKUA MUDA,NYIE MNAOSEMA NAMUOGOPA SINTA ANALIJUA ILO KUWA SIMUOGOPI HATA KIDOGO NA NIKITAKA KUCHAMBANA NAE SI HUMU NAMTAFUTA KWA GHARAMA ZANGU TUCHAMBANE FACE TO FACE KWA HIYO SINTA FANYA YAKO ANDIKA YAKO UMO KWENYE BLOG YAKO KWELI MIMI MTOTO WA KISWAHILI SINA UZUNGU HATA ROBO ILA UKINICHOKONOA UTAJUA KAMA MIMI MZUNGU AU MZARAMU NYIE WAZUNGU ENDELEENI NA UZUNGU WENU KWANGU NDIO KWANZA MKOKO UMEALIKA MAUA,KUMBUKENI MATUSI YENU HAYANITOI KOPE NDIO KWANZA ZIMENISIMAMA KAMA KIBANDA CHA SIMU.
-
MY WEDDING DAY....
-
THE AFTERMATH...
-
HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA.
-
HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA @SEACLIFF BOFYA TUUU....
-
Uzinduzi wa AIBU YAO AIBU YETU ya Hassan Ally, ulivyofana Vatican city Sinza
Kumbu Kumbu
BLOG MBALI MBALI
VYOMBO VYA HABARI
DOUBLE D ENTERTAINMENT COMPANY

Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
0 comments: