ULE MSEMO USEMAO WAPENZI WANAPOGOMBANA TUSHIKE JEMBE TUKALIME UMETIMIA,PAMOJA NA KIPIGO ALICHOMPA MKEWE WARUDIANA USO UMETUSHUKA KAMA SHOKA YA BUCHA,TUNAWATAKIA KILA LAKHERI.

Friday, May 10, 2013 8 Comments



8 comments:

  1. asubiri atakapotolewa jicho, ndo atajua nini maana ya kupenda.

    ReplyDelete
  2. MAPENZI NI UPOFU DIDA .MIE NILIJIFUNZA SHOGA ANGI HATA AJE KAVUNJIKA MENO HUMSHAURI TWENDE KWA DENTIST .NAWAACHIA WENYEWE MPAKA SIKU WAKITOANA ROHO .MOLA AWAPE FARAJA NA UFAHAMU JUU YA NDOA YAO

    ReplyDelete
  3. kama unaniona msura umenishuka shuuuu!!!

    ReplyDelete
  4. Ni kama wewe na G mlivyorudiana.....haina shida!!!

    ReplyDelete
  5. Halooooo! Wapambe mpooooooooo!! Wadogoooo kama sisimizi. Dida hebu waalike tena katika kipindi chako tuwasikie. Mi'hoiiiii!

    ReplyDelete
  6. Ngoja auliwe this tym au atiwe kilema ndo atakoma

    ReplyDelete
  7. Hapo hakuna Mapenzi wala nini wote hawajielewi wanataka nini na wapo kwa sababu ipi

    ReplyDelete
  8. HIYO NI DALILI MBAYA YA NDOA YAO INAONYESHA HUYO MUME NI MPIGAJI SO LET HER GET READY FOR IT MAANA ASHAMJARIBU AJUE HAPO SIO MWISHO

    ReplyDelete