KWELI NIMEAMINI WEMBAMBA MZURI SHURTI UNA BEBEKA NA HATA ULE MSEMO WA MUNENE NA MUNENE HATA WAKIANG-USHANA MAUMIVU WATAPATA WAO,HII MINYAMA JAMANI LZM NA UTAFITI WANGU TUPATE MKOMBOZI WATU WAMECHOKA KUANGUSHA CHAGA .INAITWA KUKURUKA MWANANGU BILA KUVUNJA CHAGA AU KUKUNJA MASHUKA,WADAU MAMA YENU NIPO KIKAZI ZAIDI KUWATAFUTIA MKOMBOZI NA SI WA KUTUPA KANSA WALA KUMUVUZISHA KIZAZI TULIENI MIMI SI NDIO MAMA YENUUUUU.

Friday, May 10, 2013 1 Comments

Kweli mwembamba na mwembaaaa je mnene unaweza ukakaa hivi Tanzania bila unene inawezekanaaaaaaaa.

1 comment:

  1. uwiiiiiiiiiiii hapomenigusa mamy,ila tutaomba uanze kutumia ww tukiona mambo poa tunafata mstari.

    ReplyDelete