SWAGGA ZA KITCHENPART MISHONO INA WENYEWE NA WENYEWE NDIO MIMI NA WEWE,HATA KAMA UNA MGUU KAMA CHUPA YA GONGO JIAMINI,KUHUSU SWALA LA MAKALIO HATA MBWA WAKO ANAYO MWANAMKE JIACHIE NA JIAMINI WATAKUKUBALI TU KIMOYO MOYO.

Sunday, May 05, 2013 12 Comments


 Ninayejua kuzitafuta na kuzitumia pia,wenye chuki bye bye tataaaaaa.


 Mtoto wakitanga.


Nisiye na makuu kwa waja nakula kwa jasho langu.

12 comments:

  1. UMEPENDEZA MASHALAAA D .KWA RAHA ZAKO WALA HUGOMBWI .DADA MTAFUTAJI KAMA SISIMIZI ASOCHOKA HATA UWE NACHO UNAENDELEA KUKUSANYA, WAACHE HAO WALOZOEA KUCHAKURA KAA KUKU HATA WAKITENGEWA PENYE SAKAFU YA HARIRI WANACHAKURA .KWA RAHA ZAKO KWA PESA ZAKO UKO MWAAAH FRM DENM

    ReplyDelete
  2. hongera dida umependeza sana wangu, umepungua vizuri, nimependa mshono wako kila la kheri bi dada!

    ReplyDelete
  3. kwenda xako, kuvaa hujui unapenda kujishaua tuu.bayaaaaaaaaa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. haya wewe unaejuwa kuvaa vaa utuonyeshe ili tukupasishe isijekuwa unamwambia mwenzio hajuwi kuvaa kumbe wewe mwenyewe cha kukivaa huna kila mtoko hodi kwa jirani full kuomba omba hhaaaaaa utajibeba, mwenzio yake yanamuendea. roho inakutapa utafikiri umepoteza milioni ya upatu

      Delete
  4. Umependeza mummy. Naomba kujua hiyo saloon ulikotengeneza nywele ni wapi?

    ReplyDelete
  5. umejipendezea mwenyewe!! safi sana dada letu! mwenye wivu ajinyonge!!

    ReplyDelete
  6. HUWA NAKUPENDA BURE WW DIDA WA GGGGGGGG! UMELIPUKA MWAYA! LINALOSEMA HAPO JUU ETI DIDA HAJUAGI KUVAA UNAMUONEA WIVU DIDA. MSONYOO FYUUUUUUUUUUUUU!

    ReplyDelete
  7. bibie umependeza sana ila naona kama nguo imekubana kifuani au swaga mwana kwetu?

    ReplyDelete
  8. Dida nimekugundua kupitia katika picha zako kwamba mtu mzuri sana wa kuwai katika matukio... nampenda sana mtu anayekwenda na muda, keep it up Dida itakusaidia sana siku moja, si uongo ni ukweli. Asilimia kubwa sana ya Watanzania hatuendi na muda kwa kweli,,,, nachukia hii kitu na sikipendi. WELLDONE DIDA.

    ReplyDelete
  9. umependeza mwaya dida,mi lov u hua sio mkorofi had uchokozwe

    ReplyDelete
  10. Yap mdau nmefrahi umenotice kuwa dida anajua kukip time hongera hny...

    ReplyDelete