Most Popular Posts
- AFUA SULEIMAN ATOKA NA MPYA "UNAJIDODO" BIBI LINAKUCHUKUCHA
- HAYA MANENO UNAWEZA KUNYWEA CHAI AHAAAAAA
- SAMAHANINI KAMA NITAWABOA WALE WASOMI.SIO UGOMVI NI SWALI TU JIBU LINATAKA USHIRIKIANO USICHUKULIE KAMA MGOMO.
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA.
- HII NI KWA WANAWAKE WENZANGU WENYE WATOTO,MTOTO WAKO AKIFIKISHA UMRI WA MIAKA MINNE MPE MAZIWA YA NIDO NIAMINI.
- NAWASHUKURU WOTE MADADA NA MARAFIKI ZANGU WOTE MLIOHUDHURIA KWENYE KITCHENPART YA DADA YANGU ALIYE NILEA TANGU MDOGO NAWASHUKURU SANA.
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA @SEACLIFF BOFYA TUUU....
- SO HAPPY....
- THE AFTERMATH...
- HONGERA THEA MUNGU AKUJAALIE KWENYE NDOA YAKO.
Kumbu Kumbu
BLOG MBALI MBALI
VYOMBO VYA HABARI
DOUBLE D ENTERTAINMENT COMPANY
Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
kabisaaa yaan ujakosea binadamu kaz
ReplyDeletewewe didani mmoja wao,wa kuwasemawenzio kisha unajifanya mwema, tumeshakustukia.
ReplyDeleteMBONA NA WEW UNATUKANA WATU? TENA UNAANDIKA NA KUWATAJA JINA MKUKI KWA NGURE HEEEEEE,
ReplyDeleteumejishtukia dida, inauma eeee! anza wewe kwanza,ajuza mkumbwa.
ReplyDeleteyani me napenda sana neneo NDIMU MKATASHOMBO! unanitiaje moyo na mistar yako mama g? me penda wewe. acha waosha vinywa waongee wasinuke mdomo wewe songa mbeleeeee!!!
ReplyDeleteManeno kuntu dida umenipaje moyo
ReplyDeleteunabania comment, nyooo mjalaana dida, achia kama kweli mwanamke. si unajua kuchamba muulize malaya mwenzio mange, kakaa kimya kwa sinta na linda. maguberu msojijua.
ReplyDeleteahaa ahaa safi sana kuna watu hawapendi kujishughulisha kazi kusifia wenzao wenye vyoa ili kuleta beef,lete beef na vya kwako!
ReplyDeletesema mama haya ndo maisha tunayoishi dunia hii,kuna watu wana midomo kama chuchunge
ReplyDeleteMungu akisema ndio hakuna anayeweza kusema hapana
acha hizo kusemwa kawaida, bila kusema huwezi kukua au kuwa na maendeleo halloooooooooo
ReplyDelete