NAWATAKIA SIKU NJEMA.....

Friday, May 24, 2013 2 Comments

Dress code ya leo, rangi ni blue, white and black...


Nikiwa mtamboni ndani ya Mitikisiko Ya Pwani Times Fm 100.5 Nyumabani Ni Nyumbani







2 comments:

  1. kusema kweli nguo zako ni nzuri sana na zinakupendeza ila hazijakaa kiofisi kabisa yaani hivyo unavyovaa ukienda kwenye ofisi zenye rules za mavazi hutaruhusiwa kuingia hata kama si mfanyakazi waenda mara moja. Hebu tupe mapigo ya ofisini na uweke dukani ukitoka chicha tuje kukuunga mkono hizi ni nzuri lakini wengine hatuziewzi madilisha mapigo

    ReplyDelete
  2. huwezi kumwambia mtu abadilishe mapigo kwa sababu tu ww unataka,unachotakiwa kusema ni kwamba sio za kiofisi lkn kama ofisini kwake zinaruhusiwa kwa nini asivae kila ofisi zina sheria zake huyo yuko ktk entertainment industry huwez mwambia avae kama afisa jamani hata maafisa wengine maofisini kwao wanavaa wanavyotaka.
    Dida mwaya unapendeza kama nn anaetaka kuiga aige na yy kuvaa raba na sketi au gauni ofisini mapaja nje kama hawaja mfireeee

    ReplyDelete