HUYU NDIE UMMY, NAMBA NYINGINE KWENYE MITIKISIKO YA PWANI

Wednesday, May 22, 2013 5 Comments

UMMY SULEIMAN sio jina jipya kama umekua ukifuatilia kipindi Number One katika muziki wa Taarab, MITIKISIKO YA PWANI ndania ya Times Fm 100.5 Kila siku za wiki Jumatatu hadi Ijumaa saa 6 Mchana mpaka 10 Jioni 


UMMY akiwa katika pozi. Mara nyingi unamsikia katika segment za MITIKISIKO YA PWANI na pale Dida akiwa hayupo basi yeye ndie husimamia show...


Tuendelee kuwa pamoja kwenye MITIKISIKO YA PWANI wapendwa na kesho tutamleta kwenu BI HINDU ili pia mpate kumfahamu kwa wale wageni mjini ambao hawamfahamu....


5 comments:

  1. ahsante sana dida kwa kutuwekea mrembo binti wa kiislam hebu na ww iga bac hilo vazi utapendezaje!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. mashallah anti ummi suleiman umependeza na ni mzuri allah akufanyie wepec kwa kila unalolihitaji

    ReplyDelete
  3. mic u sana ummy...mariam wa mtwara

    ReplyDelete
  4. Cheko lake tu mi hoi

    ReplyDelete