MALI MPYA TOKA MAREKANI WAHI DIDA BOUTIQUE....!!! JUMLA NA REJAREJA KARIBUNI

Monday, May 20, 2013 5 Comments

Rangi za kucha za SALLY HANSEN SALON "Nail Lacquer" kutoka Marekani. Zipo za kila aina hapa ni chache tu kwenye picha. Hizi ni rangi za kucha original kabisa....

Pia katika mzigo toka Marekani kuna Bikini za kila aina njoo uone...


Kuna PERFUME babkubwa toka Marekani, zenye uwezo wa kukaa muda mrefu zaidi zikipuliziwa katika nguo. Nazo zipo aina mbalimbali kwa bei poa kabisa....

Mzigo ni wa uhakika na wote safari hii toka Marekani njoo uone magauniya kila aina....

5 comments:

  1. Uwiiii umenichanganya sana nahivo vitu. Napendaje bikini mie! Rangi za kucha sasa ndo usiseme perfume ndo kabisaaa!! Nielekeze duka lilipo nije haraka sana!!

    ReplyDelete
  2. Duka wap toa direction

    ReplyDelete
  3. HONGERA DIDA,UNA PERFUME YA KENZOL

    ReplyDelete
  4. WABONGO JEURI TATIZO PIGENI SIMU ATAPOKEA HUYO DIDA HIVI HIVI JEURI DIDA SI MNAONA HASEMI HELA INALETA KIBURI SNAAAAAAAAAA PIGENI SIMU ATAWAELEKEZA NAMBA YKE HII HAPA NIMEITOA PEMBENI MWA BLOG YKE MKONO WA KULIA...... HOP SO ITAWASAIDIA SNA .0772 775150

    ReplyDelete
  5. gauni nzuri hiyo black nimeipenda nitakuja kucheck

    ReplyDelete