ISHA MASHAUZI SASA KUJULIKANA KAMA "SUPER WOMAN"
Mkali wa Taarab ISHA MASHAUZI sasa ataka kujulikana kama SUPER WOMAN baada ya kutumia jina la JIKE LA SIMBA kwa muda mrefu. Sababu za kuachana na jina hilo la Jike la Simba, Isha anasema limevamiwa na watu wanaopenda kukopy hadi majina na wengine hata kujiita Jike la Mbwa.... MAKUBWAAAA MJINI KWANI UBUNIFU UMEKWISHA, HADI MAJINA TUCOPY????
ISHA MASHAUZI a.k.a SUPER WOMAN ndani ya Mitikisiko Ya Pwani na Dida kwa mbaali aonekana Bi Hindu
Isha ndani ya kimini chezeyaaaaa.
Dj Cobbo,Isha ndani ya Zero distance.
Isha,Dida.
Women ni uwingi. Ni super woman Ndio umoja!
ReplyDeletePia yeye Isha Mashauzi anaiga tu mbona mtangazaji wa EATV Joyce Kiria anajiita SUPER WOMAN???
DeleteAMECHELEWA au tuseme nayeye pia ame'COPY & PASTE' , kwasababu hilo jina la'SUPER WOMAN' linatumiwa muda mrefu sana na JOYCE KIRIA wa EATV katika kipindi chake cha 'WANAWAKE LIVE'. Hakuna cha peke yako duniani, mbona hata hilo jina lake la ISHA wapo tele, habadilishi??? SIFA ZA KIJINGA.
ReplyDeleteDida mwambie Isha asibadilishe hilo jina la jike la simba ndio linalomfaa sana kutokana na hiyo shepu yake
ReplyDeleteHilo jina analitumia Joyce Kiria kma hujui angalia wanawake live EATV. Jipange upya.
ReplyDeleteHivi OSHA Mashauzi analijuwa umbo lake kweli? Unachomekia shati na wakati unakitumbo cha chini chini!! Jamani watu wakaribu yake mwambieni kuwa anachemsha sana kimavazi ma make up pia
ReplyDeletewewe dida na isha mashauzi wote mnalaana, shep hamna kazi kutuonyesha matumbo kama mapipa ya takataka.
ReplyDeleteKwi!kwi!kwi!kwi! Yalaaa mbavu zangu mieeeeee, eti kama mapipa ya takataka, ila kweli jamani toeni hayo matumbo kha!
Deletetoka lini dida akajua kizungu Kujifanya kujua kwiiiingi, kicwani zeroooo.
ReplyDeleteMbona ata yeye hilo jina ameiga jamani au joyce wa wanawake live anaitwa nani?
ReplyDeletemmh we anon wa 12:51 unajielewa kweli?wapi kaandika women....jipageee
ReplyDeleteAmebadilisha alikua ameandika hivyo.
DeleteAache mashauzi yasiyo na maana, mbona hilo jina la Super Woman yeye ndo kacopy kabisa ni la Joyce Kiria.
ReplyDeletewewe hapo juu sasa umerekebisha wapi pamekosewa sasa ?
ReplyDeleteaminia super woman lakini jina linafanana na la mtangazaji mmoja wa kipindi cha TV JK aka Super woman,ubunifu kweli umeisha
KUNA MPAKA JIKE LA CHUI BONGO UBUNIFU WA PEKEE HAWAMA
ReplyDeleteISHA KAPENDEZA ILA PODA HUWA ANAZIDISHA
ASICHOMEKEE BLAUZI KWANI ANAKATUMBO KANATOKEZA ILA MMEPENDEZA NISIWE MCHOYO
ata yy mbona kaiga...SUPER WOMAN ni la Joyce Kiria ndo muanzilishi kwa iyo ata yy atakua amecopy vilevile..
ReplyDeleteHuyo nae kaiga tu.super woman ni mmoja joyce kiria wa wanawake live wa east africa tv.aache hz amebugi atafute jina lingine.hilo jina ni kubwa kuliko yy, llinahitaji uchakarike na habar za wanawake ndo ulipate km alivyolipata joyce.amuka amuka isha. Acha kuvamia majina mengine yanahitaji ushahidi wa kujiita hivyo, umeifanyia nn jamii mamii.kiroho safi mpenzi wala cna tatizo na weye.gudluck!
ReplyDeleteHahaha we nawe dida na hiyo top mpaka ipauke?makubwa!
ReplyDeleteDIDA UNABANIA COMMENTS SIJUI KWANINI MPENZI
ReplyDeleteDIDA NITAFUTIE WIMBO UNAITWA
MAMA MWENYE RAHA ALOZAA MWANAMKE ,MAMA WA MUME AKIJA HUYO NAYE AMEFIKA AA
MAMA WA MKE AKIJA KAA CHINI TUNYWE CHI MAMAA!NAVIUNGO VYOTE VYAKUMUUNGIA MUMEWEEE AMUUNGIA MAMAEEE.
MAMA WA MUME*2 ANATANGATANGA ,ANATANGATANGA NA ULIMWENGU.
MAMA WA MKE*2 anapanda ndege kwenda ulaya
wimbo huu umeimbwana Maya
bendi ya silazima ya Dodoma pls
vipi kesi ya wizi ya hela imeisha? na jina la super woman ni jina anakotumia joyce kiria wa kipindi cha wanawake live
ReplyDeletemwizi ni mwizi super woman utakuwa wewe grow up may be super mwizi
ReplyDeleteLabda majina yameisha coz super woman tunaemjua ss ni Jois Kiria wa wanawake live,so nayy kacopy!
ReplyDeleteNA NYIE NAO MNAMIDOMO MIPANA KAA NAGGURO YA WASOMALI ROHO ZIMEWAJAA TAFRANI,KARAHA KAA VYOOO VYA BURE VYA KARIAKOO SASA KUMNANGA MTU NINI NYE NDO WANADAMU WASO HAYA
DeleteTaratibu bibie unatutemea mate........, asinangwe kwani ye'nani? Kama amecopy asiambiwe, mbona yeye kaongea, tena yeye kacopy jina zima zima, afadhali wenzie wanabadili majina ya wanyama, kama yeye jike la simba, kuna jike la chui, kuna jike la boko, hata likiwa jike la nnzi poa tu. Hapa ni 'makavu live' upo choriiiiii !!
DeleteKama analazimisha U'SUPER basi awe 'SUPER LADY' au 'SUPER GIRL' lakini 'SUPER WOMAN' lina mwenyewe babueeeeeeee.........
ReplyDeletewanawake tuko wakat wa digitali ukisubir shepu c utasubir mnooo km mie n kbonge toka napata faham zangu sa ina maana nvae madera weeeee kilion, jkon, mtoko aaaah wap babu weee wala haiswii vaa chchte il mrad hujakaa uchi na uko comfortable achen ushamba
ReplyDeleteSo alijitazama ktk kioo b4 hajatoka hm?hilo tumbo na kuchomekea jamaniiiii sio kila kitu lazima mufanye akaaa shepu kama jiwe kuiga tu mavazi
ReplyDeletemmmmmmmmmmmmmmmh SUPER WOMAN?????? kwa lipi ulilofsnyis jsmii??? au ni hayo madongo yako ya kwenye taarabu na kulalamika kutwa kuchwa kuwa watu wanakuonea donge... SUPER WOMAN analalamika??? SUPE WOMAN anatafuta fursa na kuzigrab. Hapo ulipo ni ahsante kwa mzee yusuph sasa una USUPER WOMAN upi wakati maendeleo yako yamechochewa na Mwanaume??? HUMUONI KIRIA JOYCE yeye alikuwa HOUSE GIRL and she is proud to say that. Nyie kutwa kuchwa mnakataa historia zenu afu ndo ujiite SUPER WOMAN??? YOU ARE NOT SERIOUS AND YOU MUST BE JOCKING GIRL... WEWE NI JIKE LA SIMBA MAANA UNALOLIWEZA NI KUWINDA NA KUKWAPUA BAAAAAAAAAAAASI.... SUPER WOMAN WAACHIE WENYE KUJUA WANACHOKIFANYA DUNIANI HAPA....
ReplyDeleteNatamani mitazamo yetu kama wanawake wa kitanzania inadilike sana mara zote tunatazama mabaya katika wanawake wenzetu kuliko mazuri. kwa upande wangu sioni tatizo la Isha kujiita Super woman kwani ni ridhaa yake aitwe nani na mashabiki wake. Pia si kweli kwamba isha hana mafanikio yoyote japo pia kama binadamu ana mapungufu yake . Ifikie point tuwe tayari kusifia wenzetu pale inabobidi. kwa mfano nguo zimempendeza tuwe wakweli japo make up imezidi
ReplyDeleteKwani sikaandika mwenyewe na anauwezo wa kufuta na kuandika upya mwanzo aliandika SUPER WOMEN waliosoma mwanzo wote waliona sa ameedit baada ya kukosolewa@Anony 7:18
ReplyDeletehahahahahhahaha mmenichekesha kweli mnaomnanga isha na shepu yake,mwenzenu kwa shepu ile ile ana mihela tele ana julikana tz nzima,wenye matako na shepu nzuri kwani ni chakula?mwanamke nyonga babuuu makalio hata mbwa wanayo,haaaaaaaaaa hamna hata hayaaaa,hiyo ndo stail yake ya kutafutia hela,nyie mtatembea na njia mpaka mindala itawatobokea acheni ushamba jamani tafuteni stail za kutokea,eti shepu,mnamuonaje didaaaaaaaaaaaaaaaa,mwenzenu anaruka kila sikuuuu,nyie mkabanane kwenye treni la mwakyembeeee hahahhhahhhaha,nampenda sana dida nampenda sana isha wanawake wanaojua kuzitafuta wenyewe hawababaishwi!!!!!!!
ReplyDeleteisha swga za vimini waachie wenyewe khaaaaaaa
ReplyDelete