WADAU PICHA HUWA ZINANITOA MNENE ILA UKINIONA USO KWA USO SIO MNENE IVYO,KWA HIYO KWA WALE NWANAOKATAA SINA KILO 68 NI KWELI NINAS KILO HIZO KABISAAAA ILA MARA NYINGI KWENYE PICHA NATOKA MNENE SANA NA SASA NIMEPUNGUA KILO MOJA MPK KIELEWEKE.

Tuesday, April 30, 2013 8 Comments

M KONO UKIUONA UTAFIKIRI NDIVYO NILIVYO LKN HAPANA NITASHUGHULIKA NA HUU MWILI NIPENI MWEZI TU KWA WALE WADAU WANGU MLIOSEMA NIPUNGUE NITAPENDEZA HAYA MAMBO YAMEANZA,AHSANTENI KWA USHAURI.

8 comments:

  1. Kwa urefu wako, kilo 68 ni nyingi mno I mean mnene sana.

    ReplyDelete
  2. ole wako ubanie comment mshenzi weweeeeeee nimetumwa na MANGGEE MAVVVVVVVVVVIIIIII

    ReplyDelete
    Replies
    1. Heee we jini tutokee usije ukamuua dada yetu dida maana ya kutumwa nyinyi munazidi kuw wabaya

      Delete
  3. mara ngapi unafanya diet na kuacha?

    ReplyDelete
  4. Huyo anaesema katumwa na Mange atakua ni Sintah, anataka aanzishe bifu kwa vile yeye ana bifu, achana nao endelea kusaka mahela. Back to the point, ukipungua utapendeza saana. Jitahid,ingawa ni kazi kwa kweli mi mwenyewe on and off kila siku

    ReplyDelete
  5. Umetumwa we jini?umejituma mwenyewe.unauza gongo na bangi hlf unaogopa polisi?we mwehu eeeh.

    ReplyDelete
  6. We nae kujishaua..tupishe kulee sie..umeendeza tumbo kama pork..
    Ukipungua unapendeza.
    Jiamini usijishtukie.
    Shep huna ukinenepa unakuwa ka fuko la sukari..
    Bania na hii..utaisoma kimya kimya.
    Mdomo mrefuu kukonda hukondi

    ReplyDelete
  7. Haki ya Mungu huyu mwanamke kwishney sasa hana lake, masikini ya Mungu muoneeni huruma tu. Wenziwe wanafanya yao yeye kutwa wako midomoni mwake, sasa hasira zako unakuja kumalizia kwa Dida kwani Dida ndie aliyekunyima rizikiu. Badilisha mwenendo wako safisha nafsi yako na Mungu atakufungua kutoka katika vifungo vya ibilisi ulivyomo. Na pia sio lazima uishi kama Dida au kama Mange, ishi kwa kiasi chako tu ulichojaaliwa na umshukuru Mungu kwa kidogo alichokupa pengine atakuongezea. Haki ya Mungu utasema ana kichaa cha mbwa, poleni wadada kwa vitimbi vya ibilisi.

    ReplyDelete