WADAU NIMEVAMIWA NAHISI WAMEONA NI BINGWA WA KUNYWA VITU VYENYE SUKARI,KUNA COCA COLA ZIRO KINYWAJI POA KWA DIET KAZI NI KWETU.

Monday, April 08, 2013 2 Comments



 NIKIWA NA WAREMBO WANAOWEZA KUKIZUNGUMZUA VYEMA NA KUHAMASISHA KINYWAJI ICHO KIKO POA KAJIPATIE NA WEWE CHAKO SEHEMU ZOTE KINAPATIKANA.






2 comments:

  1. bora upungue dida, maana umekua kama sanamu la michelini.

    ReplyDelete
  2. HI DIDA WETU WANGUVU,NAHANI HUJAMO NA UNAENDELEA VEMA KUSUKMA GURUDUMU LA MAENDELEO NCHINI,SIO HAO WAOSHA VINYWA KUTWA MANENO KUSEMA WENZAO SIJUI KAZI ZAKUFANYA HAWANA,ILA NDGU YANGU NATAKA NIKUPEUSHAURI KDGO KUHS HIZO COCA HAZIFAI KABISAA WASIDANGANYE WATU ZINAFAA KWA DIET HAKUNA CA ZIRO SUGAR WALA WALANINI UNAMBIWA SODA SIO NZURI KIAFYA JAMANI NAMTU ANETAKA UNGUZA UNENE NA SUKARI ISIONGEZEKE MWILI SODA ZOOTE NIHATARI KABISA NAMAJUISI YAMA BOX HAYO YOOTE YANAYOWEKWA KEMIKALI MNADANGANWA NINZURI HAKUNA KITU KMA HICHO NDIOMANA SASA HV KUNAMILIPOKO YA MAGONJWA KISUKARI,CANCER VYAKULA NA VINYWAJI VINACHANGIA SAANA KEMIKALI NDGU ZAGUNI,TENGENEZA JUICE HALISI HOENUNUA ENDA YAKO MATUNDA HUKO BONGO NIKIBAO TENA FRESHI EPUKEN KABISA HASWAKUWANULIA WATOTO MAKEMIKALI HAYOO,NIKO NJE NIMEJIONEA MENGI MIE MWENYEWE NILIKUWA MNYWAJI MKUBWA WAKOLA NILIPOTOKA BONGO KUJA UKU NIKAONA ZAKUMWAGA KILAAINA YA SODA JIKOPO LA PLASTIKI KUUBWA NAJIJAZIA KWA FIJI JAMANINILKUWA MKUUBWA NA KITEMBEA NAJSKIA MOYOUNAGONGA DOCTA AKANIWEKA CHINI AKANIELEMISHA KUHUS MLO NA VINYWAJI,UKINIONA SASA HV UTANIPENDA KINYWAJI CHANGU KIKUBWA NI MAJI NIKITAKA JUICE NAJITENGEZEA .SO NIUSHAUII TUU WATANZANIA WENZANNGU,HASWA WENYE WATOTO MUWAJALI TANGU WADGO VYAKULA VINYWAJI VINGI NI SUMU MWILINI.JUST I,M SAYING.

    ReplyDelete