TAMASHA LA MITIKISIKO LAFANA.

Monday, November 05, 2012 0 Comments

Safari ilianzia hapa bwana,nilishuka chini kwanza maana kiatu kirefu nitaota vigimbi.
Nikapanda juu tayari kwa safari.
Nikiwa ndani ya ukumbi wa Dar live na Bi Hindu.
Dida na Dj Cobo.

Kushoto Mtangazaji wa redio mombosa FATIHIYA,DIDA,BI HINDU.
FATIHIYA,DIDA
Kwa raha zetuuuuuuuu.

Shughuli pevuuuuuuu.
Bi. Mwanahawa Ali akimwagacheche kwenye stage.

Ahmed Mgeni akifanya makamuzi.

Mashabiki wa kumwagaaaaaaa.

Mzee yusuph akitumbuiza shabiki akipata nae burudani.
Mzee akicheza na mkewe Mpenzi chocolate wallah kupendwa rahaaaaaaaaaa.
Ukumbi uko fulllllllllll.
Jahazi wakitumbuiza.
Hapana chezeyaaaaaaaa mzee yusuph.
Zanzibar Njema wakifanya makamuzi.
TOT na wenyewe ni balaaaaaaaaa.
Hapana chezeyaa, Jike la Simba akikonganyoyo za mashabiki.
Hapana chezea Khadija kopa gwiji la mipasho nchini tanzania.

0 comments: