MCHAKATO WA KUWAPATA WASHIRIKI WA5 WA EBSS KUTOKA DODOMA ULIVYOKAMILIKA NDANI YA ROYAL VILLAGE HOTEL
Wakina dada ktk pozi kabla ya kukutana na majaji |
Wakina kaka ktk pozi kabla ya kuonana na majaji |
Awaichi Mawalla akitabasamu wakati anaongea na mtu wa damu salama |
Kundi la kina kaka likiwa ktk picha ya pamoja kabla ya kuonana na majaji |
Awaichi Mawalla wa Zantel akichangia damu |
|
Mshiriki wa EBSS akiimba kwa nguvu ili aweze kuwashawishi majaji wamchague |
Mshiriki Fabian Peter Kikoko akitupa burudani pindi anavyosubiri kuingia kwa majaji
Agent wa Zantel Ezy pesa wakiwemu huku Royal Village kuwapa watu taarifa na huduma ya Ezy Pesa
Mpiga picha wa Benchmark productions akiwa na watu wa damu salama akijiandaa kutoa damu
Majaji wakifanya majadiliano
Msururu wa washiriki wanaosubiri kufanya usahili
Washiriki wakipeana ushauri na wakipiga soga wakati wakisubiri zamu yao mbele ya majaji
Winner Lucas, mwenye miaka 22, mwanafunzi wa UDOM, Rapper wakwanza wa kike kwa siku ya leo
Huyu mshiriki aliimba nyimbo iitwayo AMAZING GRACE kwa namna ya kipekee
Madam Rita Akitoa damu.
Majaji wakijadiliana kuhusu mshiriki kabla hawajampa taarifa kama amepita au ameshindwa
Mshiriki wa EBSS, Joha, akimkabithi Madam Rita mtoto wake ambebe pindi alivyokuwa anaimba.
Mshiriki mdogo kuliko wote katika shindano la EBSS ndani ya Dodoma akiulizwa umri wake
Msururu mrefuuu wa vijana wa Dodoma wakijiandaa kufunguka
DIGNA MBEPERA akiwa mbele ya majaji akifunguka FILFRED ARNOLD, Mwenye miaka 22, akipasha kabla hajaingia chumba cha sindano
Right now it seems like Movable Type is the preferred blogging platform out there right now.
ReplyDelete(from what I've read) Is that what you're using on
your blog?
Review my web page :: homepage ()