BIDHAA ZINAPATIKANA KWA JUMLA PIA,

Thursday, May 17, 2012 4 Comments

Mdau tembelea Dida Classic Boutique lililopo Kinondoni kona ya kuelekea Vijana ukitokea Studio, bidhaa mbalimbali za urembo na mavazi zinapatikana jumla na rejareja kwa bei nafuu kabisa

Pochi ndogo za mkononi, kwa ajili ya vitu vidogovidogo kama Make-Up

Vibajaji


 Rangi za Kucha, Dawa za kupunguza mwili na kujenga HipsWOTE MNAKARIBISHWA

4 comments:

 1. jmn jmn izo dawa za kuongeza hips c zilipigwa marufuku bongo mbona naziona tena au ndo magendo????????????????????????????

  ReplyDelete
 2. We nawe wakiitwa wenye boutique utatoka kweli au kujishaua tu

  ReplyDelete
  Replies
  1. jmn tusiwakatishe tamaa wanawake wajasiriamali kama unaona haistahili kuitwa boutique basi weka vigezo vyako na ikibidi muongezee mtaji. Hongera Dida its a good move

   Delete
 3. Izo za hips anzakupaka wewe kwanza au wewe Hips huzitaki....na uwo mwili wako we hutaki kuupunguza

  ReplyDelete