Wednesday, April 04, 2012 11 Comments

  1. SAMAHANI KAMA NITAKUGUSA UMJINI UNA MAMBO NA WENGINE HAWAWEZI WANAIGA TU,HUWA NAWAITA WAJARIBU BAHATI WATOKE VIPI MAANA SIKU HIZI HUMJUI YUPI WA KIGOGO NA YUPI WA MASAKI,HUJUI YUPI BORA NA YUPI CHANGU TUMEUNGANA WANANGU,ILA MWISHO WA SIKU UTAJUA NINI NAMAANISHA WADAU MIE YANGU MACHO SIJAMGUSA MTU HUWA NAKURUPUKA TU KAMA NIMEKUJA MJINI NA MBIO ZA MWENGE YAANI BALAA TUPU TUTAZAA NA LITAKAE MUANGUKIA ,MTAZAME SANA ANAYEJIFANYA ANAKUTOLEA MENO NJE KAMA NGILI MOYONI HUMJUI HAKUNA ALIYETIMIA KUANZIA UTOSINI HADI MWISHO WA KIDOLE JAMANI LABDA MALAIKA ILA MNAONGEA SANA YA WATU MPK POVU ZA MDOMO ZINAWATOKA NAONA MNACHAMBA MOTO MSUBIRI KUUNGUA WAPI NI MTAZAMO TU ATAKAEONWA KAGUSWA HUNA HAJA YA KUNIANDIKIA BARUA PEPE HATA MTANDAO UNATOSHA,MNAACHA KUZEEKA NA MAISHA YENU MNAZEEKA NA MAISHA YA WENZENU NAWAONA TU MNACHEZA LIGI ZISIZOKUWA NA JEZI HE HE HEEEEEYAAAAA.


NI YULE YULE NDIMU MKATA SHOMBO.

11 comments:

  1. Dida, hata mie naona tu wanajizeesha na maisha ya watu.kutaka kurudi kwenye chati kwa kupitia majina ya watu. yule dawa yake kumpa kipondo. hakuna masaki wala kwa mtogole mulemule tu!

    ReplyDelete
  2. Umeonaaaaeeeeeh??

    Napita tuuu!

    ReplyDelete
  3. Acha kwanza mkorogo ndiyo useme wengine.

    ReplyDelete
  4. Ha ha ha ndimu mkata shombo ah jamani

    ReplyDelete
  5. hahaha mulemule wapi? studio maana nasikia juzi alipewa kipondo kwa baby shower. mtamuuwa mwenzenu au mtamuamisha mji muoneeni huruma japo hajionei huruma yeye mwenyewe .

    ReplyDelete
  6. hahaha analazomisha umaarufu wakati hana chakumfany maarufu akaoge ten na ommo bibi watu na bahati zao yake ilipita aweke foleni

    ReplyDelete
  7. upo juu mamaa dida wa G,kama an aeroplane.hawatakuweza wewe,wachezee wembe watoke damu,watakuweza wapi weye!
    Mail yangu umeipata mpnz?mbona hukunijibu kule gmail?nakupendajee mie!!!
    fatma.

    ReplyDelete
  8. NIKWE KABISA DIA,KUNA WATU WANAKERA SAANA HUMU DUNIANI.HAWAJIELEWI WAKO UPANDE GANI UKU YUPO KULE YUPO.BENDERA FATA UPEPO,HUYO SINTAH AMEWAUDHI WATU WENGI SAANA ,AU KWAJINA LINGINE MCHONGANISH .COM MWANAMKE ANAJISHAUA YULE SIJAPATA KUONA UZEE ULE KUSHIKA NA JOKETI SI RIKA LAKE ,UKIONA HIVYO AMEKOSA SHOGA WA RIKA LAKE WOE WANAMKIMBIA KWA UNDUMILAKUWILI.WEE SINTAH WEWE SIJUI JLO UCHWARA WA BONGO VGUU KAMA BANIO LA UGALI WEHAYA WEEE IPO SIKU YAKO UTAIBIKA ZAIDI YA UNAYOFANYIA WATU NYAU WAPORINI WEEE.JUZI NILIMUONA BAGAMOYO KUPENDA MAKUBWA UTAYAWEZA SINTAH?TULIKUWA TUMEKAA HOTELI MOJA ULIPOFIKIA NA KUJIDAI MSTARAB UCHWARA NA KUMGANDA YULE WANA WAWATU NDIO NINI UMEENDA KUJIFICHA BAGAMOYO UPUUZI WAKO USIONEKANA KUMBE NDIO ZAKO,UNAJIDAI KUCHAMBA WENZIO KWENYE BLOG YAKO KUME NDIO ZAKO MSHAKUNAKU WEWE ,NILITAKA KUKUFUATA NIKUP KUBWAA MJINGA WEE,SEMA MUME WANGU AKANIZUIA NIKAWA MSTARABU ,

    ReplyDelete
  9. Si msomaji sana huku ila nimekutana ujumbe mzuri sana wa mlengwa! nimefurahi sana dida kama umeona hilo nazani hizi blogs hizihizi ndo zisaidie kumfikishi ujumbe yule mwanamke! nitakuwa mdau wako mana nimeona una upeo! yani mtu unaweza ukawa na vyeti lakini kama huna elimu dunia nayo ni hasara! hivi yule mwanamke ni mbumbumbu na shakunaku kiasi kile? huruma kwa kweli!

    ReplyDelete