He was a Great ACTOR.

Saturday, April 07, 2012 2 Comments

Mara ya mwisho nilikutana na Kanumba ktk saloon ya Amaya na Salam J. tukifanya kipindi cha Tv show.
Nilianza kufahamiana naye mwaka 2002 tulipoigiza wote ktk kikundi cha KAOLE Sanaa Group, alikuwa mcheshi, mwelewa na anaependa kuendelea mbele sana...... he was the greater!

Hakika kizuri akidumu

Inalilahi wainaelehi rajiuni!REST IN PEACE KANUMBA

2 comments:

  1. dah,mungu ailaze roho yake mahari pema peponi.nakumbuka kipindi kile cha kaole mliigiza kama mumeo.pole dida mi nakukubali sana tena sana sauti yako tu.

    ReplyDelete
  2. Allah amuondolee adhabu za kabur na ampe kauli thabiti.

    ReplyDelete