HAPPY WOMENS DAY, WANAWAKE TUNAWEZA BANA!

Thursday, March 08, 2012 5 Comments

Bi. ELSIE KANZA, mmoja kati ya Wanawake 20 Vijana wenye Nguvu AFRIKA pekee kutokea TANZANIA pia ni Mshauri wa UCHUMI wa RAIS KIKWETE na pia amechaguliwa na World Economic Forum kama Young Global Leader, BiGUPP Bi DADA.

 Kwa mujibu wa mtandao wa FORBES BOFYA

5 comments:

  1. Dida mbona uko nyuma sana ya habari?? huyu dada alishapata post nyingine kitambo. Hayo mambo ya ushauri wa uchumi wa Rais siku nyingi alishaacha.. hebu pitia vyanzo vyako vya habari vizuri. BTW hiyo link uloweka ni ya mwaka 2011.. hebu soma vizuri.

    ReplyDelete
  2. bi dada anzisha blog yako ili utupe up 2 date na sio kwenye blog za wanawake wenzio tena watafutaji na wapiganaji wa maisha mshenzi wewe dida endelea mama ubarikiwe achana nao

    ReplyDelete
  3. we ramli sijui ramla makamasi usimharibie dida, kuna kibaya kipi alichosema huyu mdau? kweli dida ni blog yake, alichofanya ni kmrekebisha kwani inaelekea nafasi hizo kwa mhusika zilisha expire kitambo.. hajatuongopea ila ametujuza too late. sasa ubaya uko wapi kumrekebisha? nina awasiwasi kama kichwa yako iko pouwa,unataka mwenzio asishauriwe ama? SHWAINI WEWE..

    ReplyDelete
  4. Ebu tuambie ana degree ngapi mpaka awe mshauri wa rais, kikwete bwana yaani yupo kike kike sana (interested na wanawake) Pr. Lipumba ni mchumi wa kimataifa nadhani tanzania tukimtumia tutanufaika kama jirani zetu Uganda, Rwanda na kenya. Uganda wamemtumia wamenufaika sisi tunangoja nini. kubebana bebana hata kwenye mambo muhimu ya kitaifa.

    ReplyDelete
  5. Kama humjui mtu kaa jaribu kukaa kimya, Elsie kasoma Nairobi University first degree, masters IFM (MSc) akaenda Williams College US akachukua another Master ya Economics na wakati wote huo alikuwa anafanyakazi Bank of Tanzania, Domestic markets wanashughulikia Treasury Bills ansd Bonds, Repurchase Agreements, overnight lendings kwa mabenki, baada ya hapo akaenda Ministry of Fianance kuwa Personal Assistance wa Katibu Mkuu Hazina baadae Mshauri wa mambo ya kiuchumi wa rais. Wanawake acheni hayo kunawenzenu hawawazi nggono tu wanafanya kazi na huwezi kuwaona kwenye mablog yenu.

    ReplyDelete