CHUKUA HIYO.

Wednesday, March 07, 2012 3 Comments

NILIJARIBU TU KUWEKA SIMU HAPO JUU ILA WENGINE MMECHUKIA ,MPAKA MNAFURA NDIYO YALE NILIYOKUWA NASEMA BINADAMU HATUPENDANI NA HUPENDI MAENDELEO YA MTU,CHUKI,CHOYO,WIVU MIMI NINAITA WA KIJINGA KBS YAANI ROHO IMEKUPAPALIKA KABISA HAYO NI MAMBO MADOGO LAKINI UMESEMA MPK POVU LA MDOMO LIMEKUTOKA NA KUMBUKA MTU CHAKE EMBU TUACHENI ROHO MBAYA,YAANI KAMA WAKAANGA SUMU?
 SI MIMI TU BALI NASEMA USICHUKIE BAHATI YA MWENZIO ALIYEPEWA KAPEWA TU BIBI WEEEEE MJA HAPOKONYEKI,ACHENI HIZO NYIE WAJA WENYE ROHO ZA KUTWANGA PILIPILI MSHAHARA KUKOHOA,NACHUKIA SANA NYIE MNAOKAA MNAOKAA KUPONDA MAMBO YA WENZENU,
 WEWE MWENYEWE HUNA MBELE WALA NYUMA,UNASEMA KITU CHA MWENZIO HUNA LOLOTE KUMBE NAWE UNAKITAMANI ALOOOOOOO NA MNAJIJUA MNAVITAMANI VYA WENZENU MSIFIE MWENZIO ALICHOJAALIWA MAANA MPK TUNAKUSTUKIA USO UNAKUWA MDOGO KAMA NUKTA ACHENI HIZOOOOOO.



NI MIE AKUCHOMAE.

3 comments:

  1. Hahahaaaa umenifuraisha simu ivyo je ukiwaonyeshaumenunua nyumba si watakunywa sumu

    ReplyDelete
  2. mhh nawe kwa kupapalika kama mkaa, sasa ndio vicm gan vya kuonewa wivu? hahaaaa hovyooooooooo mfyuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  3. kwa komenti hiyo dhairi una choyo na anaepapalika ni wewe wala si dida haloooooo pole kwa kinachokukereketa jaribu kunywa maji kitapoa ukishindwa kaogeeeeeeeeeeee matako wewe

    ReplyDelete