Most Popular Posts
-
AFUA SULEIMAN ATOKA NA MPYA "UNAJIDODO" BIBI LINAKUCHUKUCHA
-
SAMAHANINI KAMA NITAWABOA WALE WASOMI.SIO UGOMVI NI SWALI TU JIBU LINATAKA USHIRIKIANO USICHUKULIE KAMA MGOMO.
-
HAYA MANENO UNAWEZA KUNYWEA CHAI AHAAAAAA
-
MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI.... KHERI KWA KILA MTU
-
WADAU KWELI MIMI NI MTU MZIMA WALA SI KIPANDE NA SIJAFIKIA UTU UZIMA UOOOO SABABU SICHAMBII PANGA WALA SIPIGI DANADANA KWA MAKALIO,ILA NAPENDA NIWATOE HOFU NYIE MNAOJIFANYA MNANIJUA SANA KULIKO MAMA YANGU MZAZI NI HIVI NAMTAJA LIVE SABABU ANAJUA SIMUHOFII WALA SIMUOGOPI NA SINA SHARI NAE ILA AKIITAKA KWANGU ATAINUNUA KWA BEI RAHISI BILA YA VAT,SINTA NAKUTAJA NA NAJUA HUWEZI CHAMBANA NA MIMI HATA ROBO MAANA NITAKUPA UMAARUFU WA MUDA MCHACHE MAANA HATA WA KUTATIZA KATIKATI YA MSAFARA WA RAISI UTACHUKUA MUDA,NYIE MNAOSEMA NAMUOGOPA SINTA ANALIJUA ILO KUWA SIMUOGOPI HATA KIDOGO NA NIKITAKA KUCHAMBANA NAE SI HUMU NAMTAFUTA KWA GHARAMA ZANGU TUCHAMBANE FACE TO FACE KWA HIYO SINTA FANYA YAKO ANDIKA YAKO UMO KWENYE BLOG YAKO KWELI MIMI MTOTO WA KISWAHILI SINA UZUNGU HATA ROBO ILA UKINICHOKONOA UTAJUA KAMA MIMI MZUNGU AU MZARAMU NYIE WAZUNGU ENDELEENI NA UZUNGU WENU KWANGU NDIO KWANZA MKOKO UMEALIKA MAUA,KUMBUKENI MATUSI YENU HAYANITOI KOPE NDIO KWANZA ZIMENISIMAMA KAMA KIBANDA CHA SIMU.
-
HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA.
-
MY WEDDING DAY....
-
THE AFTERMATH...
-
Uzinduzi wa AIBU YAO AIBU YETU ya Hassan Ally, ulivyofana Vatican city Sinza
-
HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA @SEACLIFF BOFYA TUUU....
Kumbu Kumbu
BLOG MBALI MBALI
VYOMBO VYA HABARI
DOUBLE D ENTERTAINMENT COMPANY

Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
maskini wema, so akaenda kujichagulia malonya hapo classic my foot! hahahahahahaha. najua hii utaibania. unazibaniaga sana eti mimi ni mama wa makavu! makavu mabichi? tetetetetetete!
ReplyDeletewe acha usenge kwenye blogu za watu mbwa wewe tafuta yako pumbavu huna haya shenzi usimtukane mwanamke mwenzio nimejibia kozi kimeniuma malonya yako yakowa pi? nampenda dada yangu koma
Deletesasa cha ajabu kitu gani huyo malaya kufanya shopping hapo? naona sasa bidada umeishiwa post za kuweka
ReplyDeleteNdio maana Wakenya na Waganda wanatucheka sisi Watanzania. Mmekalia majungu ya kipumbavu, si haba bichwa lako limejaa funza. Umalaya wake upi hasa....wewe wakumnyoooshea midole utafikiri wewe bikra!!! Kuwa makini na tumaneno msenge unavyotoa utaoza huko chini uzikwe futi 12!
Deletedida kweli we hujasoma,unaonekana elimu yako ndogo na akili ina ufinyu,unapenda sana maugomvi,kingine kinachonifanya nikuone hujasoma,ni kuwa una kilema cha l n r,naona umeandika mdori badala ya mdoli,pia unashindwa hata kuandika hereni unaandika heleni,ndio kiswahili gani na wakati huwa unajifanya unajua sana kuongea na kurusha madongo!!KWELI SHULE NI MUHIMU SANA,hujachelewa rudi kasome,pesa tayari unayo kama unavyodai,sasa kasome uwe mstaarabu!!ni mtazamo tu u
ReplyDeletehahahhahah wenye wivu bwana ivi wewe yeye nani ajenda shule .kwana unaandika comment.unaziba jina pili unawaogopa ndo mna unaziba jina wivu unakusumbua wenzako yanawaendea .mshamba wewe ukichoka maisha jitundike sio kutukana watu hapa no matamshi machafu .wema umependeza sana mpo juu .na dida wapotezee waswahili hawakwepeki wapo kila upande .hahhahahah
ReplyDeletemambo dida naomba unielekeze duka lako lilipo ni kinondoni gani.ningependakuja dukani kwako.je unanguo za wajawazito .nijibu please.
ReplyDeletejamani ni kwanini mnapenda kujichubua hivyo?yaani mngejiona mlivyochukiza!hakika mngeacha mara moja!kiukweli mnaonnyesha ni
ReplyDeletejinsi gani msivyo na elim,mtu aliyeelimika hata siku moja hawezi
kuharibu ngozi yake namna hii,mnatia huruma sana na wala hampendezi hata kidogo,itafika mahali mtahitaji kurudi katika hali ya kawaida na haitawezekana!mtajutaje?
nyie na elimu zenu pia mnajichubua,hizo elimu zenu mnaishia kuchuna wanaume kazi hamtaki kufanya. Sasa sijui mnawasimnga wadada wa wawtu ili iweje? Mara muwaite waswahili mara hawajasoma,waacheni kwa raha zao na maisha yao!Mwanamke kuchakarika!
DeleteYaani mdau hapo juu umenena kweli,Wanawake wenzangu aliyewaambia weupe ndio uzuri nani?Wema kajiharibu kweli alikuwa na ngozi nzuri rangi natural nzuri ona sasa anaonekana kama kinyago hata radha unakosa mtu,angalia mapaja yalijikunja kwa carolight mweeee!
ReplyDeletekwanin wanawake hampendani nyie washenzi mnakomenti utumbo acheni kwani kujichubua ndo nini waacheni nafsi zao zimeridhika nyie kinawauma nini mmefulia wema dada dida angalieni mbele, eti kusoma kusoma kitu gani matako nyie anzisheni blog zenu muonyeshe usomi wenu sio kwa watu shenzi, heitaz hawakwepeki wako kila kona kuwazoea tu mbwa hao ni mimi mpenda maendeleo ramla
ReplyDeletekwel jaman huko kujichubua kumezid sana had kichefuchefu sasa.............
ReplyDeleteMh, kweli wanawake hatupendani na sio wanawake tu ni sisi binadamu wote tuna roho za kwa nini.
ReplyDeleteMwenzio kafungua biashara yake kajitahidi unasema maronya, duuu. UBINADAMU KAZI JAMANIIIIIIIIII.
DIDA KWENYE KIPINDI CHAKO HEBU UNIWEKEE ILE TAARABU YA UBINADAM KAZI, NILIJUA MTASEMA.
swala la kujichubua lazima waambiwe kila kukicha mnakuwa kama vinyago inshort wema nakupenda sana lakini punguza kujichubua mbona we ni mzuri sana tatizo ni nini hasa kujiaribu hivyo?
ReplyDeletedida ucwajali hao wanaokutakia mabaya.wivu unawasumbua wanasahau aliyepewa kapewa wanalo iloooo
ReplyDelete