WEMA AFANYA SHOPPING YA NGUVU NDANI YA DIDA CLASSIC KINONDONI .

Monday, February 13, 2012 15 Comments

Akiingia dukani akakutana na mdori alipendaje top iyo.

 

Akiwa ameshatungua viatu kadhaa akichagua saa na heleni kwa raha zake.
Aliipenda hii pochi akiiangalia kwa makini ngozi iyo mama.
 Amuachie nani akainyakuwa bibi kwa raha zake.





                                 

15 comments:

  1. maskini wema, so akaenda kujichagulia malonya hapo classic my foot! hahahahahahaha. najua hii utaibania. unazibaniaga sana eti mimi ni mama wa makavu! makavu mabichi? tetetetetetete!

    ReplyDelete
    Replies
    1. we acha usenge kwenye blogu za watu mbwa wewe tafuta yako pumbavu huna haya shenzi usimtukane mwanamke mwenzio nimejibia kozi kimeniuma malonya yako yakowa pi? nampenda dada yangu koma

      Delete
  2. sasa cha ajabu kitu gani huyo malaya kufanya shopping hapo? naona sasa bidada umeishiwa post za kuweka

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndio maana Wakenya na Waganda wanatucheka sisi Watanzania. Mmekalia majungu ya kipumbavu, si haba bichwa lako limejaa funza. Umalaya wake upi hasa....wewe wakumnyoooshea midole utafikiri wewe bikra!!! Kuwa makini na tumaneno msenge unavyotoa utaoza huko chini uzikwe futi 12!

      Delete
  3. dida kweli we hujasoma,unaonekana elimu yako ndogo na akili ina ufinyu,unapenda sana maugomvi,kingine kinachonifanya nikuone hujasoma,ni kuwa una kilema cha l n r,naona umeandika mdori badala ya mdoli,pia unashindwa hata kuandika hereni unaandika heleni,ndio kiswahili gani na wakati huwa unajifanya unajua sana kuongea na kurusha madongo!!KWELI SHULE NI MUHIMU SANA,hujachelewa rudi kasome,pesa tayari unayo kama unavyodai,sasa kasome uwe mstaarabu!!ni mtazamo tu u

    ReplyDelete
  4. mama pili ungaibuni swedenFebruary 16, 2012 at 11:29 AM

    hahahhahah wenye wivu bwana ivi wewe yeye nani ajenda shule .kwana unaandika comment.unaziba jina pili unawaogopa ndo mna unaziba jina wivu unakusumbua wenzako yanawaendea .mshamba wewe ukichoka maisha jitundike sio kutukana watu hapa no matamshi machafu .wema umependeza sana mpo juu .na dida wapotezee waswahili hawakwepeki wapo kila upande .hahhahahah

    ReplyDelete
  5. mama pili ungaibuni swedenFebruary 16, 2012 at 11:32 AM

    mambo dida naomba unielekeze duka lako lilipo ni kinondoni gani.ningependakuja dukani kwako.je unanguo za wajawazito .nijibu please.

    ReplyDelete
  6. jamani ni kwanini mnapenda kujichubua hivyo?yaani mngejiona mlivyochukiza!hakika mngeacha mara moja!kiukweli mnaonnyesha ni
    jinsi gani msivyo na elim,mtu aliyeelimika hata siku moja hawezi
    kuharibu ngozi yake namna hii,mnatia huruma sana na wala hampendezi hata kidogo,itafika mahali mtahitaji kurudi katika hali ya kawaida na haitawezekana!mtajutaje?

    ReplyDelete
    Replies
    1. nyie na elimu zenu pia mnajichubua,hizo elimu zenu mnaishia kuchuna wanaume kazi hamtaki kufanya. Sasa sijui mnawasimnga wadada wa wawtu ili iweje? Mara muwaite waswahili mara hawajasoma,waacheni kwa raha zao na maisha yao!Mwanamke kuchakarika!

      Delete
  7. Yaani mdau hapo juu umenena kweli,Wanawake wenzangu aliyewaambia weupe ndio uzuri nani?Wema kajiharibu kweli alikuwa na ngozi nzuri rangi natural nzuri ona sasa anaonekana kama kinyago hata radha unakosa mtu,angalia mapaja yalijikunja kwa carolight mweeee!

    ReplyDelete
  8. kwanin wanawake hampendani nyie washenzi mnakomenti utumbo acheni kwani kujichubua ndo nini waacheni nafsi zao zimeridhika nyie kinawauma nini mmefulia wema dada dida angalieni mbele, eti kusoma kusoma kitu gani matako nyie anzisheni blog zenu muonyeshe usomi wenu sio kwa watu shenzi, heitaz hawakwepeki wako kila kona kuwazoea tu mbwa hao ni mimi mpenda maendeleo ramla

    ReplyDelete
  9. kwel jaman huko kujichubua kumezid sana had kichefuchefu sasa.............

    ReplyDelete
  10. Mh, kweli wanawake hatupendani na sio wanawake tu ni sisi binadamu wote tuna roho za kwa nini.

    Mwenzio kafungua biashara yake kajitahidi unasema maronya, duuu. UBINADAMU KAZI JAMANIIIIIIIIII.
    DIDA KWENYE KIPINDI CHAKO HEBU UNIWEKEE ILE TAARABU YA UBINADAM KAZI, NILIJUA MTASEMA.

    ReplyDelete
  11. swala la kujichubua lazima waambiwe kila kukicha mnakuwa kama vinyago inshort wema nakupenda sana lakini punguza kujichubua mbona we ni mzuri sana tatizo ni nini hasa kujiaribu hivyo?

    ReplyDelete
  12. dida ucwajali hao wanaokutakia mabaya.wivu unawasumbua wanasahau aliyepewa kapewa wanalo iloooo

    ReplyDelete