WADAU MKOANI KIDOGO!!

Monday, February 20, 2012 12 Comments

Mandhali ya Mji wa Moshi Mlima kilimanjaro kwa mbaliiii.
Mtoto wa kike nilikamata mchuma huo week end kuelekea Moshi.
Nilifika Mombo nilidataje na mijinyamaaaaaaa.
Baadae niliendelea na safari kuitafuta Moshi hapana chezea speed 140-160 kwa mbali nikakiona kitu cha mlima nikajua hapa ndio penyewe hapa chezea mimiiiiii.
Katika vitu ambavyo vilinifurahisha haaaaaaa du kama nilale kwa juu.
Baada ya kufika moshi salama pozi tu ziliendelea maana hapana chezea Mto Wami aiseeeee.
Najidai tena nimefika salama mungu mkubwa barabarani kuna mambo mengi.
Nilijipa raha kwa raha zangu.
Mwisho wa siku namshukuru Mungu kwa mikono hii pamoja na akili za barabarani  mkono wa mwanamke speed kwa kwenda mbele najiaminiaaaaaaaaaa.

12 comments:

  1. mtoto wa kiswahili una mashauzi wewe,hapo nia yako ni kuonyesha huto tudhahabu twako mikononi huna lolote..na huyo mumeo astajika ni mchagga eeeh..so ulienda ukweni,kama jamaa mchagga ndo maana uko hivo mdudu wa ny**ge anakuangaisha jamaa hakupatii,yuko very business kutafuta vijisenti

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umefata nini huku

      Delete
    2. Kama jamaa hanipatii na yuko very busy na business basi niletee mumeo au babako halafu wao watanionyesha huyo mdudu wa nyege anavyotolewa mshamba mkubwa wee kingereza chenyewe huna eti yuko very business stupidful low minded . Big up Didah uko juu

      Delete
  2. noah nayo mchuma na wewe aaaaah

    ReplyDelete
  3. dida yaonekana hiyo ilikuwa mara yako ya kwanza kudrive safari ndefu kama hiyo maana kitu ukikifanya kwa mara ya kwanza lazima utajishongondoa tujue kuwa na ww ni bingwa wa kudrive safari ndefu... lol!!!!

    ni...
    yule yule

    ReplyDelete
  4. niliipenda sn blog yako lakini sasa naona umeanza kuwa kama Sinta kwa mashauzi na kupenda kujiskia na kujisifu...hatuhitaji masifa ya kuendesha speed wala nini, tuwekee vitu vya maana vya kijamii bwana, we vipi!

    ReplyDelete
  5. UNAMIKONO MIZURI SAANA DIDA,HONGERA MWAYA,MINAMSHANGAA MTOA MAONI HAPO JUU MITUSI YOTE YANINI HUMU WEKAMA HUTAKI INGIA HUMU SIUACHE ANAUHURU NA BLOG YAKE KUWEKA ATAKACHO UNAWIVU TUU AU UNAMTAKA MUMEWAKE DIDA UNASHINDWA KUMPATA,MANA LAWAMA HIZO ZAKIWIVUWIVU NDOMANA DIDA KAWEKA HIYO KOMENT HAKUIBANIA MANA ANAKUONA MJINGA TUU,MIJITU MINGINE BWANA UNAMTOLEA MTU MANENO MAKALI MACHAFU UTADHANI ANAKULA KWAKO NYOOOKO WEWE.DIDA WASIKUMIZE ROHO HAO MAENDELEO YAKO YANAWACHOMA MIOYO,SONGAMBELE MWANAMKE.MTOA RIZIKI NI MUNGU PEKE YAKE.

    ReplyDelete
  6. hongera dida kwa kila kitu unachokifanya ni mafanikio yako hakuna anyependa mwenzake apate nakupenda sababu wewe mtafutaji.sana ubarikiwe salimia mtoto na baba

    ReplyDelete
  7. una vidole vizuri Dida kama si mikono hongera kwa hilo luv u

    ReplyDelete
  8. mie navyokupend na unanukosh nafs na manen yko

    ReplyDelete
  9. HONGERA MREMO UNAKUCHA NA VIDOLE VIZURU MIMI HATA KUWEKA VIDOLE VYANGU HIVYO SIWEZI VIBAYA AJABU

    ReplyDelete