MIMI NI MMOJA KATI YA WANAWAKE JASIRI,SHUPAVU,NISIYEKUBALI KUSHINDWA,NINA WIVU WA MAENDELEO NA NINA UWEZO WA KUSIMAMAMA POPOTE NA KUSEMA CHOCHOTE.

Friday, February 03, 2012 16 Comments

Kwanza wanawake wenzangu muelewe kusemwa duniani kupo,Ilo la kwanza maana hakuna mtu atakayekusifu kwa mazuri asilani kila siku hata utende zuri lzm Binadamu tukosowe, Jamani mimi najiamini na ninajikubali mwenyewe yaani ukimuona mwenzio mbaya si wa sura wala umbo roho yako tu imetuna kama inataka kupasuka unajishughulisha kwa mtu ambaye hakuwazii wala kukufikiria ujue wewe hujiamini,hujielewi tunahitajika kujiamini kwa lolote kusemwa mjini ni kama mgao wa umeme sisi wenyewe wanawake hatupendani ila huwa nasema jiamini ukijua kusema watu jua nawe unasemwa,jitafutie bila chuki maana haitajenga bali itabomoa ukimuona mwenzio kafanikiwa muulize amefanya nini kuliko kumbeza oooooh mbonaKIBAYA,HAKIVUTII,OOOH BIASHARA YAKE MBAYA Jiulize kimoyo moyo wewe unayo ha ta mtaji wa kuanzia unao?Msikate tamaa tuwe wajasiri pasipo kuogopa lolote sababu unatafuta kwa jasho lako SOMA JAPO KIMOYONI LINAKUCHOMA.
Toka kokote kama unauwezo napo na maisha yako pasipo kuogopa Binadamu wanazungumza nini?Namshukuru mwenyezi mungu ni mwanamke nisiyekubali kushindwa mwenye wivu wa maendeleo nisiyejali midomo ya waja ya kutafunia chakula kumbe wananitafuna mie,Natoka nimetoka na bado namuomba mungu ingawa sintofikia kama kina MARIEDO,
Maana kuna wengine huwa wananichamba ungekuwa una maduka kama Mariedo si ungejishaua mjini mwenzio nDuka langu naliona kama MARIEDO NDOGO Bibi nikiingia najishaua sana tu kuwa mwanamke mimi na weza sembuse wewe hata KIOSKI huna
,Usikate tamaa mie mniseme mnisakame maneno kwangu kama muziki nacheza ila ukitaka binadamu wakurudishe nyuma kimaendeleo fuata wanayoyasema ila kama muelewa utapeta maishani na kuwa ngangari mjini,wote waliofanikiwa walianza kama sisi na ndio maana kuna usemi usemao HATA MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA,Ukiwa huna kitu ndio hao hao wa kwanza kucheka ni hayo ALIYEGUSWA NYOOSHA KIDOLE JUU NIKULETEE JINGINE,WALE WENYE ROHO ZA KUTU MIE NA NYIE SAMBAMBA NI MADONGO KWA MADONGO MPAKA MTAPIKE NYONGO,UNAAMBIWA DHIKI USIIWASHIE FENI GANGAMALA UTAUWAWA BURE.

16 comments:

  1. Pole kwa maswibu mwaya hii ndo Dunia dada,
    Ok naamini umerudi salama, I hope unakumbuka kuwasilina na dada mmoja tukakubaliana ukirudi tuongee...
    Nataka kufuta nyanyo zako.
    Thanx

    ReplyDelete
  2. choyo ndo zinawasumbua wakuache miaka mia tisa na tisini na tisa

    ReplyDelete
  3. kwa nini wasema hutofikia mariedo? Inshaala mdogo wangu mie ninavyokuona kwa juhudi zako, utaifikia mariedo na utakuwa na branch kila mkoa. umesema mbuyu ulianza kama mchicha, vipi wajishusha tena kuwa japo hutafikia mariedo? sahihisha kauli yako, songa mbele mamii. Mkumbuke Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma. atakubariki na kukujaalia lukuki.

    ReplyDelete
  4. sasa hapo unatufundisha nn maana hapo mwanzo mwisho madongo kama kuna mtu vile unamlenga amekuboa...... sijaona maana yake......

    ReplyDelete
  5. huku ndo kumedoda kabisaaaaaaaa

    ReplyDelete
  6. Hahahaha anony hapo juu kweli kmedoda haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Elimu nayo inasaidia kidogo though kiria alisema juzi sio lazima kuwa na elimu lkn mmh.Dida ungekuwa na elimu wala usingejiangaisha kujibizana na watu lkn yaonekana ulikimbia ukungu na hili ni radhi ambalo haliwezi kuponyeka

    ReplyDelete
  7. dongo la mtu hilo mm nimefurahi maana hatuna raha na hicho kikjielimu chake kutwa nimesoma nina vyeti, una vyeti mjini huna pesa puuuuuuuuuuuuuuuuuuuu mbona umemuweza.

    ReplyDelete
  8. safi sana dida maana shost anavyojishaua, najua ni madongo ya sintah hayo, mtaji wake ni k......ma tu huyo ndio maana hasameniki tena nimesikia anamnyemelea diamond, mwanamke hana haya jamani huyu kutwa kujipendekeza oooh bff lol sina hamu nae.

    ReplyDelete
  9. HOPE HUO NI UJUMBE WA SINTAH ATAKUWA AMEUPATA, MAANA MWANAMKE ANAJISHAUA HUYU NA ANGEKUWA NA MAENDELEO INGEKUWA BALAA, HICHO KI RAUM KILICHOBONDEKA NDIO KINA MPA JEURI, KEEP IT UP DIDA ACHANA NA YULE MALAYA.

    ReplyDelete
  10. WELA WELAAAAAAAAAAAAAA mpe mpeee huyo madongo yake ndio maana hata haolewi maana mwanamke hana staha jamani, kutwa kusifia wanaume eeeeeeh eti kiroboto nae anatikisa jiji.

    ReplyDelete
  11. Dada hana msimamo yule, mara leo sauda ndio bff, kesho wema, kesho kutwa jokate jamani msameheni bure hajielewi mwenzenu.

    ReplyDelete
  12. MUNGU AKKUBARIKI DADA DIDA NAMI NAPENDA KUWA KAMA WEWE MY EMAIL ramlamwakasi@yahoo.com please tuwasiliane unipe ushauri nataka kuwa na mafanikio kama wewe.achana na wenye roho za kutu awasafishiki hao mpka wanakufa pumbavu zao.akupendae RAMLA AU MAMA NAJMA

    ReplyDelete