NILIJIPOZISHA MPAKA NIKASAHAU MGAO WA UMEME HA HA HA HAAAAA.

Sunday, October 02, 2011 4 Comments

Nimemisije hata sauti za paka?
Ni pozi tu.



Ukijihisi kuchoka unakuja kucheza Game hapa.

4 comments:

  1. hureeeee kula raha mpenzi wanguu,maisha yenyewe mafupi watakoma kuringaaaaaa!!!!! mtoto wazidi kupanda chatiiiii bahati unayo mungu akupe nini tena?gooooooooooooo dida...god bless uuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  2. Haa haaaa mgao wa umeme mbavu zangu mie...haya bibie safari njema

    ReplyDelete
  3. upo juu mama. nimependa hilo begi jamani, mi ninalo ila huwa sitokei outing au ulikuwa bado safarini? au ndo fashion, kama fashion akha mwenyewe najichanganya nalo..........

    all the best huko.

    ReplyDelete
  4. MWENYEZI MUNGU AKULINDE NA AKURUDISHE SALAMA DIDA. STAY BLESSED MY SISTER

    ReplyDelete