ASALAAM ALEIKUM NATUMAI IDD ILIKUWA POWA SANA,KWANGU NA FAMILIA YANGU ILIKUWA POA TUNAMSHUKURU MUNGU MAISHA YANAENDELEA.

Saturday, September 03, 2011 2 Comments

Ni pozi tu jamani.
idd imekwisha ndio hivi nyumbani ni nyumbani.
Kalikula bataje?shule inakaribia mtoto sio pozi tu idd imekwisha.

2 comments:

  1. Dida uko uch...au?sasa mzee yuko wapi?maana nyie ni 1 family sasa au ulikwenda kula eid kivyako na yeye kivyake?kaazi kweli kweli!usiogope maneno ya watu mwaga picha zake bwana mbona mdada wa ukweli jide humuweka wa ubani wake G?haya shost ni maamuzi yako hayo! nyie ni 1 family sasa au ulikwenda kula eid kivyako na yeye kivyake?kaazi kweli kweli!usiogope maneno ya watu mwaga picha zake bwana mbona mdada wa ukweli jide humuweka wa ubani wake G?haya shost ni maamuzi yako hayo!

    ReplyDelete
  2. Ulienda kula EID wapi ndugu? naona ndo unarudi hujatuatamanisha wapi ulienda na mkafaidije jamani.

    tulikumiss katika kipindi

    ReplyDelete