WATANZANIA KWA UJUMLA HATUTASAHAU SIKU YA TAR 21/3/2011 KWANI WADAU WA MUZIKI WATAARAB NA WASANII KWA UJUMLA TUMEFIKWA NA MSIBA MZITO.

Wednesday, March 23, 2011 0 Comments

Tutawakumbuka siku zote na miaka yo ni pengo zito kwa namna moja hama jingine itachukua muda sana kulisahau ila MUNGU AWALAZE MAHALI PEMA PEPONI AMIN.Ni bdhi ya maombolezo mazito ambapo ni msiba uliotokea siku ya tarehe 21/3/2011 wakiwa wanatokea katika zira zao za mikoani walianza Ifakara,Makambako,Na kumalizia Kyela wakati wanarudi wakapatwa na umauti huo Baada dereva wa basi walilopanda kulivaa roli la mbao na hatimae kupinduka na kupoteza maisha ya wasanii hao.Kiukweli inauma na inasikitisha kuona baadhi ya waimbaji na wapiga vinanda tegemeo la bendi hiyo wote wameaga dunia kilichobaki kuwaombea ndugu zetu wapumzike salama AMIN.

0 comments: