KUPASUA JIPU NDIO ZANGU.

Monday, March 14, 2011 15 Comments

Naomba niwaabarishe tu wanawake wenzangu tena myasikie kwa makini nimechoka kunyamaza kimya unajua siku zote wanawake hatujiamini,hatujitambui na wala hatujui uthamani wetu ndio maana tutaendelea kuumizwa na mapenzi mpka kope zetu ziote mvi ni mtazamo tu,Mwanamke hupendi kujishughulisha, kuchakarika kazi umekalia majungu,Fitina,Usengenyaji utatoka lini na hata unaowapiga vijembe wamekuacha mbali sana,Tazama watu wengi wanaowachukia wenzao lzm kutakuwa na kitu kinawauma,au umewazidi na ndio maana wanafura kwa ghadhabu,Wala wanawake wenzangu na wapenda maendeleo msivunjike moyo kutokana na mavuvuzela wanao thamini hirizi zimewajaa shingoni mpk viunoni,Haya ni maisha tu ambayo hata mwengine anafikia kumnanga mwenzie kwa vitu vyake alivyojitafutia hakumbuki yeye mwenyewe mchuzi chukuchuku, ukijishughulisha utafanikiwa usipende kumsema mwenzio maisha yake wakati wewe mpaka udandaze mjini uishi acheni hizo wanawake mmezidi sana kuyachukia maendeleo ya wenzenu na kukaa vinywa wazi mngoje waumbuke kwa taarifa yenu mtaumbuka nyie waja wa kukosoa maisha ya wenzenu wewe mwenyewe una mbele wala nyuma siku zote unaambiwa mjinga mjinga mpotezee na wala hamjatukera bado.Ni vijimambo vikikuchoma unahusika.Na kama huna bakti bibi acha dhiki ikuzoeeeeeeee.

15 comments:

  1. rindima dida rindimaaaaaaaaaaaaa,mtajibeba.

    ReplyDelete
  2. mwehu weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee pumba tupu we mwenyewe wa majungu umejuaje kama huyapiki mjinga usiye na utu. nenda huko umejichubua kama konokono.

    ReplyDelete
  3. Wachawi siku zote mpo na hamkosi cha kuwanga na kumuwangia mtoto wa mwenzenu wenzako wamafunguwa mdomo kwenye sherehe wewe unafunguwa mdomo kwa Dr. wameno tegemeaa maumivu Dida usijali wala usikate tamaa na wachawi ukipata nafasi kama kawa pasuwa mpaka matambazi tena bila ya ganzii.

    ReplyDelete
  4. anonimous march 15, 5:02 huna sera ni ww nini ???? mbona yanakutoka ?????

    ReplyDelete
  5. dongo nimelirusha gizani atakayesema yala lake sidhuriki na matusi kwani nimeyazoe,ila jueni waja hapa mtakoma nyie matusi kwangu mziki pole yenu mlooshwa na mnuka nuka mimi ndiye yule yule haaaaaa mwanamke imara sibabaishi na mkoboa nafaka.wadau wangu mnaaokuwa na mimi sambamba sbb hao wengine yanawagusa niko pamoja na nyinyi hii kwangu kama tv lazima nikutolee chenga chenga.

    ReplyDelete
  6. Dida nimecheka adi basi na comment wa Anony wa 10.30 anawaambia kuwa wenzao wanafunguwa midomo kwenye sherehe yeye anafunguwa mdomo kwa Dr. wameno ategemee maumivu daaa.Dida hata wewe kwenye kamusi yako huna hii usisahao kumpa na bi.Zai nimeipenda sana mimi nimeshaichukuwa safi sana.

    ReplyDelete
  7. punguza ukali wa maneno dada yangu wewe ni kioo cha jamii ambae watu wanakutegemea uweze kuwaelimisha,so kwenye blog muwe mnatuwekea vya kutuelimisha na sio vya kukatisha tamaa jamii my dear haipendezi kwa kweli na kama kuna mtu amekukosea nni vema ukamface kuliko majungu hadharani mie ni mpenzi wa blog yako ila unakoelekea sio mpendwa

    ReplyDelete
  8. nafikiri mdau wangu kwa namna moja ama nyingine umepitia kwenye maisha yapo na yanaendelea kuwepo huu ni mtazamo tu nashukuru nitafanyia kazi.

    ReplyDelete
  9. DIDA ANYWAY UR GOOD,WEWE PIA NI MBUNIFU,MIE NI BINT KM WEWE NA NINA MITAZAMO YANGU KWENYE MAISHA NA HUWA NAKUBALI KUAMBIWA UKWELI IF IM WRONG,SIFAHAMU HUWA UKIANDIKA MSG ZAKO MWENYEWE UNAITA PASUA JIPU UNAMAANISHA NN INAWEZANA UR RIGHT, BUT THAT IS NOT A GOOD WAY OF RELEASING UR TENSION NINGETAMANI KUONGEA NA WEWE NIKUELEKEZE KITU SBB KUNA MAENEO AMBAPO UNA PROVE WRONG BUT SIJUI KM U ARE WILLING , KM UNA UTAYARI TWAWEZA WASILIANA SORRY FOR ANY CONVINIENCE

    ReplyDelete
  10. si bure una matatizo wewe, hivi una mafanikio gani mpk uwachambe wenzio hivi. Nadhani unajifananisha na watu wa chini sana na kujiona huko juu kumbe ni ulimbukeni.

    wewe ni kioo cha jamii jaribu kujiheshimu ili watu wakuheshimu. Heshima ni kitu cha bure sana na pia ukiishi kwa staha watu watakupenda

    Unajimaliza mwenyewe badilika. Masikini na roho, maisha na fikra

    ReplyDelete
  11. Dida huna lolote,we mwenyewe hata kwenye 100ml huna lkn tantalila kibao,hivi kama ungemfikia Dotnata au Jide ingekuaje?kumbuka mjinga wa leo ndie anakuja kuwa mjanja wa kesho!baht gani uliyokuwa nayo wewe?hizo baht zenyewe ni za masharti (kulumanzira),we ni mtumwa wa watu tu,usimzarau mtu ktk maisha na ukifanya hivyo bac wewe maisha hujayajua bado ni rimbukeni!huko kupanda ndege na kununua hizo kilo ndo unajiona mjanja?kupanda ndege kwa sasa ni kama daladala tu si issue sana,mi mwenyewe kila baada ya week moja na nusu ni lzm nipande ndege na sina tantalila kama wewe,ndo maana wewe ukipata tatizo kdg watu wanakunanga ni kwa kuwa wewe unajiona!me nakupenda lkn umenikera sana,maneno makali sana wape waneno ya kawaida tu,eti kumiliki kagari ka ml10!kelele kibao,dida mdogo wangu angalia haya ni maisha tu,hao wanaokufagiaria kwenye utombo kama huo ulioongea ni wajinga wenzako!kwa sasa nipo india nikirudi nitakutafuta,kwani nitakaa kama siku tano then naruka naenda London.dida kumbuka ulipokuwa unasoma najua kulikuwa watu ndani ya darasa ni wajanja sana i mean kuanzia kimasomo na kimtazamo lkn leo wewe upo juu kdg zaidi ya hao!mungu akikujaalia mshukuru yeye azidi kukupa na kukulindia mali zako bac mambo mengine achana nayo,hao wanaokufagiria hata ukisema utumbo hawafai,ila ulianza kueleza kwa uzuri then ukaharibu tropic nzima.

    ReplyDelete
  12. anymous 18, 2011 11:57 nakuunga mkono dida badilika kuwa mwelimishaji sio mpondaji utaona mafanikio mengi na maadui watakupenda usijione upo juu sana jiweke wa kawaida ni hayo tu

    ReplyDelete
  13. natumai wadau hamjanielewa nini nilikuwa na maanisha nimesema kwa yeyote mwenye tabia hizo aache kama hazijawahi kukuta usinilaumu kwani sijajiona nina hela wala nini haya ni maisha tu,sijakusimanga ila jua ninachiokiandika kimewatokea watu,Na bahatu mbaya mimi sijishaui kama mnavydhani na sina sura ya kumtisha mtu mpk mseme ningekuwa mzuri in short SIDHULIKI NA LAWAMA NIMESHAZIZOE KWANI KWANGU CHEO NA WALA SI MZIGO,NA MTI WENYE MATUNDA SIKU ZOTE UPOPOLEWA MAWE.

    ReplyDelete
  14. wapeeee hao.ukinangwa wewe wao wanafarahi .ukiwapa vijimaneno kidogo wanachukia kwa nn? jaman mwenzio akipata nawe omba dua upate. km wewe co limbukeni mbona umetuambia ulipo na unakotaka kuelekea kwa ndege , huna ishu wala jipya. dida poteza ileeeee mbaya.

    ReplyDelete
  15. Wewe anony 11:55 huna cha kuongea,unajua hata kama ni kiongozi wako lkn anapokosea ni lzm umwambie ukweli,sasa hapa dida amekosea au inaelekea kuna watu au mtu ana bifu nae sasa ndio anamtupia maneno ndani ya blog!kama una akili soma pale kwenye Dida said ya march 16 saa 4:34 utagundua!siku zote unapotoa maada tegemea kupata majibu yoyote!wewe ulitoa maada ulitegemea watanzania wote wawe upande wako?kuna watu na akili zao na si watu na midomo yao!unajua blog hii inatembelewa na watu mbalimbali,anony 11:55 hujui uliongealo kaa kimya,unajua duniani tumegawanyika,kuna mtu akiwa na 5milion tu bac utamjua na kuwaona wenzake ni wajinga ktk maisha,jua na tambua usimdharau mtu kwenye life,leo hii unamdharau mkoboa nafaka?ni kwa kua wewe unapanda ndege sio!jua aliekupa wewe ndio huyo huyo anaemcheleweshea kumpa huyo mkoboa nafaka,maana muda mwingine tunacheleweshewa kupewa tu,hebu muangalie babu wa loliondo na kuna mifano mingi tu ya namna hii babu ana umri wa 76 ndio anapewa wakati kafanya kazi miaka kibao!haya wale wenzake waliokua juu kipindi hicho nina amini leo hii hawapo tena kama si kufirisika haya ndio maisha.

    ReplyDelete