TUTAENDELEA KUWAKUMBUKA DAIMA,JANA WAKATI TUNASUBIRI MIILI YA MAREHEMU TULIKUWA BADO HATUAMINI NA NDIO MAANA MAZUNGUMZO YALIKUWEPO.
Nakumbuka siku kill music Awards ilipokuwa inazinduliwa tulikuwa na kijana chipukizi aliyekuja kwa kasi ya ajabu sasa nuru imezima kwa uwezo wake mungu hapo kushoto DIDA,MAREHEMU ISSA KIJOTI NA SAUDA MWILIMA.
Tulikuwa bado hatukiamini kitakachofuata dkk zitakazofuta Isha akiwa amesimama na waimbaji wenzie wa Jahazi tukisubiri miili iingizwe ndani ya sehemu walipokuwa wakifanyia mazoezi.
Tulikuwa bado hatukiamini kitakachofuata dkk zitakazofuta Isha akiwa amesimama na waimbaji wenzie wa Jahazi tukisubiri miili iingizwe ndani ya sehemu walipokuwa wakifanyia mazoezi.
Ni baadhi ya waombolezaji na wadau ilitengwa sehemu nyingine ambayo tuliambiwa baadhi tuingie kwa kuwa umati ulikuwa mkubwa sana,
Halima Kimwana wa Twangapepeta akiwa na daftari alilowachangisha wanamuziki wa bendi za dansi.
Tulikuwepo huyo ni HAMIS SLIM MMILIKI WA BENDI HIYO YA FIVE STARS.
Waimbaji wa jahazi kushoto Fatuma,na Leila rashidi.
dada Hadija mh.kapuya sio waziri tena,kwa sasa anabaki kuwa mh.mbunge tu,uwaziri this time kikwete hakumpa tena.nilikua naweka kumbukumbu sawa tu,endelea....
ReplyDeleteDida uwe unaangalia nguo za kuvaa kwenye msiba na disco, me binafsi sijapenda kivazi chako wenzako wote wanamavazi ya kujistiri huo ni msiba na ukumbuke wewe ni kioo cha jamii. Unaonekana ni jinsi gani hujiamini kama ni mzuri mzuri tuu, hata kama ukivaa gunia...........
ReplyDeleteBadilika bwana