UKIISHI NA WENZIO KAZINI VIZURI UTAJIHISI KAMA UNAENDA KWA WAZAZI WAKO,ILA KUNA WENGINE MAKAZINI WANAJIONA WAO NDIO WAO LZM UPAONE KAMA POLISI.

Thursday, February 03, 2011 1 Comments

Hapa nipo kwa job free hakuna noma wala nini najihisi niko home.
Unatamani hata ushinde tuu bila sbb muda mwingine ni neno tu.
Nikiingia kwenye kipindi huwa na pishana na sister duu mwengi ni furaha tu hakuna majungu.
Namaanisha hiyo ndio times hatukunjiani ngumi siye kazi tuuuuu.
Unaruhusiwa kutupia pamba yoyote mwilini so haina mbaya.
Mzee wa kutupia ndani ya times fm One B.
Siyo wapenzi bali ni upendo kazini watajibeba



Hatugombwi na mtu ni full kujiachia tu ila heshima iwepo

1 comment: