HII NI KWA WASICHANA WENZANGU TUNAOPENDA KUVAA VIATU VIREFU AU HIGH HEELS,MADHARAYAKE BAADAE NI MAKUBWA.

Wednesday, January 12, 2011 4 Comments
Yaani hapa lazima msuli unipinde.

siongei.

mhhhhh.

Nikaona nimemechisha kumbe nazidi kuupindisha.

Hapa lzm uchemshe.


Nimeona bora niamie humu ingawa havihusu.

We acha tu.

Kazi kweli kweli kwa maongezi ya wataalamu wenyewe jamani sie wavaa viatu vyenye kisigino kirefu au maarufu kama high heels,Miaka kadhaa baadae tutasumbuliwa na misuli kama wacheza mpira nimeshtuka kidogo kwa sababu ni mikato yangu msuli tena uanze kusumbua tazama tu ni baadhi ya viatu vyangu mimi tayari naona misuli ishateguka longtime tu inasubiri muda wake niwe natambaa na ukuta mungu tuepushie,Baadhi ya viatu ambavyo navivaa na ninatembea kama nimevaa ndala chezea msuli usiniteguke.

4 comments:

 1. mwenzangu, yani hivyo viatu vya baridi hapo chini ndio wavaa ndani na joto kali lote la Bongo?
  let me advice u my sister hivyo ni viatu vya ndani kwa nchi za baridi,vinasaidia kuleta joto kwa miguu siunajua nchi za wenzetu, na najua ushaenda huko hata juzi juzi ulikuwa huko. km ww unataka kuvaa viatu ndani kwako vaa tu ndala au siple open shoes na sio hivyo mamii. nimekwambia tu kwa upendo

  ReplyDelete
 2. hajasema dida anavivaa kasema bora nivae hivi ingawa Havihusu wabongo mbona Mna maneno marefu kama mabalo ya mitumba?

  ReplyDelete
 3. anony wa kwanza kajiona kaongea ya maana kuonyesha kujua kwingi asiejua hivyo viatu vya ndani nani??? soma vizuri uelewe mwenyewe kisha sema anahamia huku ingawa havihusu sasa wewe insha ndefu si ukaandike darasani tuondolee shombo hapa.

  ReplyDelete
 4. Na wala sio vya wakati wa baridi tu huko kuvimba ni swagga zake, vinavaliwa ndani haswa ukiwa umevaa nguo za kulala. Kama ni suala la baridi ulaya nyumba zote zina heater ukiwa ndani hata kisingleti unavaa bila shaka yoyote

  ReplyDelete