MY NEW RIDE WASHIKAJI,NAWE TAFUTA KWA JASHO LAKO MAJUNGU HAYASAIDIIIIIIII.

Monday, October 18, 2010 30 Comments




Namshukuru mwenyezi mungu kila mnapopiga jungu juu yangu neema zinapanda,ahsante mungu naomba uendelee kuwapa uzima maadui zangu wayaone japo madogo unayonipa.nawasisitiza tu fanyeni yenu muache ya wenzeni hapa ni zaidi ya burudani kazi tuu majungu kwenu

30 comments:

  1. hongera sana hayo ndiyo maendeleo ya mwanamke kiukweli nakupa big up sana mwanamke mwenye maendeleo, mungu atakuzidishia dada

    ReplyDelete
  2. as usually unataka sifa bs. na ukishakosa cha kupost bs unaanza kutafuta sifa. sasa new ride si lako au??? punguza ushamba bi mkubwa yani kila utachonunua unakitangaza hivi inakuwa inakusaidia nini???ulimbukeni unakusumbua. ipo siku utamnunulia mwanao baiskeli au mdoli utamuweka kwenye blog na mdoli wake.ndo mana manuksi yanakuandamaga kwa kupenda kupablish vitu vidogo.

    ReplyDelete
  3. ushauri wa bure mdogo wangu, kuwa na maisha yako bila kujali watu wanasema nini na usitake watu waseme yaani usishindane na watu wazungu wanasema hivi "silence makes a day" kaa kimya fanya mambo yako siku itaisha tu mara nyingi nimekuwa nikifuatilia blogu yako na kuona kwamba umekuwa chanzo cha kutaka watu waseme kwa maneno yako achana na hayo tunahitaji kujua masuala ya maana zaidi juu ya kazi zako unazofanya za uandishi toa mada za maana za kusaidia jamii wewe kama muandishi unatakiwa uwe kipaumbele kwa kutoa mada za kuendeleza jamii hasa vijana kama wewe mf. sijawahi kuona umesisitiza juu ya masuala ya uchaguzi n.k. mdau wako toka moshi

    ReplyDelete
  4. Kwa kweli una bore! Sikujui wala hunijui ila nimefahamu kwa nini unasema watu wanakuchukia. Sidhani kama wanakuchukia ila unawaudhi ndio maana wana kuponda. Badala mtu afurahie umepata kitu kipya anachukia kwa jinsi ulivyo ki introduce kwa maneno yasiyofaa! Unakera! Wala sikuchukii mamii ila nakushauri tu ujifunze kuongea vizuri. Jinsi unavyo andika unaonyesha wewe ni mshari sana.

    ReplyDelete
  5. mbona unakuwa naulimbukeni kwanini unapenda maisha yaushindani? yaliyo jaa chuki na manenomaneno jakibu kuwa msataarabu kuna watu wangapi wanavyo na wapo kimya acha uswahili

    ReplyDelete
  6. inaonekana hana mkole huyu mtoto ndio tatizo unyago zilo

    ReplyDelete
  7. kwa kweli dida umezidi ushamba na uswahili pia yaani we ni mswahili haswa kama mungu kakujalia ya nini kuandika si tungekuona tu acha ushamba na uswahili bi shosti

    ReplyDelete
  8. Hongera sana Bidada, Kiukweli mi unanifurahisha sana na hii style ya Blog yako, Maneno yako ndo yananifanya niingie katika hii blog, hakika wewe umetoka kivyako, Endelea kutupa raha usisikilize maneno ya watu!

    ReplyDelete
  9. Blog ni ya Dida asipoweka vitu vyake mnataka akaweke vya Jirani mumseme ni mmbea kama anawaboa msiingie kwenye Blog yake hahhahahhahaha hata mie nitapiga na langu Dida unirushe with my new ride. Hata jide alivyonunua Murano aliitoa kwenye blog kama Dida anawaboa msiingie humu maana hii ni mali yake.

    ReplyDelete
  10. hata ningekua mimi ningekuja na kusema hayo hayo mana kuna mtu alitoa maoni akasema eti ameazima,haazimi mtu gari babu hela mbele,wachome bibi we wataisoma kimya kimya

    ReplyDelete
  11. Nadhani Dida anafurahia jasho lake! na angependa tufurahi wote! ni jambo jema kujikomoa na kununua gari, well done mama!

    ReplyDelete
  12. dida,hongera ila nimestaajabu wewe kujitoa na new ride tunaliona barabarani,unaonekana sana bi mkubwa,nakupa big up kwa maendeleo ila usitangaze bwanaaaaaaa.

    ACHA MACHO YAONE KWANI NI KIZURI.

    ReplyDelete
  13. Achana na mambo ya kisharishari Dida! kama hao wanakusema wapo si wameshakusikia, hata kama una bif na mtu nadhani kwa hizo msg za kila siku ujumbe ameshaupata. Andika vitu vya maana, achana na mambo ya majungu, ooh wasionipenda, achana na mambo ya kiswahili. Hata mimi inanibore. Hunijui sikujui wala sikuchukii, napenda maendeleo yako, lakini sipendi maongezi yako. Congrat's!

    ReplyDelete
  14. Yani una bore wewe dida, acha sifa.

    ReplyDelete
  15. Mh Dida na weweeeeee...
    mi unanshangaza mana kama mtu ndo mara ya kwanza kufungua blog yako anakutana na mijineno yako ya nyimbo za taarabu si atakushangaa!!!!
    Hy bi dada hongera lakini ss mbona picha zenyewe umezibeep onyesha ni model gani ya toyota. Jitahd upate na make zingine zilizoadvance zaidi ya toyota uzidi kulinda heshima na kutamba hapa mjini.

    ReplyDelete
  16. mtu mzima ovyo tatizo la kushika hela ukubwani mi sikupendi kwa sababu wewe ni mswahili kupita maelezo

    ReplyDelete
  17. Dida hongera sana, napenda mwanamke anayejituma na kupata mafanikio ya jasho lake nachukia wanaokaa wakitegemea mume au babuzi.
    pili naomba ufahamu kuwa wanaotembelea blog yako siyo wote wale wabaya wako wako wengine wapita njia na wengine wanakupenda kikweli hivyo hiyo heading hapo ni kama umetujumuisha wote tunaokuja hapa na kuwafanya wengine kushusha stress zao hapa wewe unaona idadi ya wabaya wako ni wengi kumbe wengine umewatibua kwa heading tu.
    Ushauri lakini sio amri bora ungefungua blog nyingine special kwa wachawi wako najua watakuja tu kukutembelea, hii tuachie sisi tuletee mavitus yanayojiri katika tasnia ya burudani.

    ReplyDelete
  18. hongera kwa kuchukuwa mchuma huo ndugu yangu, ndio maendeleo tunayotaka
    BUT kuna sehemu umekosea kidogo, kwanini useme maneno ya kuwapasha watu, mara mungu wape uzima MAADUI zangu waone unayonipa.ni kwama nilivyokwambia haya ndio maneno ya kujihami, ambayo hayakutakiwa
    UNGEFANYA HIVI, Ungetuma email ya kumshukuru Mungu tu kwa kukupa mchuma huo, na kutia moyo wengine ambao bado hawana ili nao watie bidii kama wewe walipate, short & clear, but naona kama vile unayatafuta mashindano?? si nzuri hii haswa kwa wewe mwenye blog( jamii inakutazama, but watu watakuvalue kutokana na maneno yako) zaidi ya hayo, NAKUPENDA SANA, NA NAOMBA MUNGU AZIDI KUKUBARIKI NA KUKUINUA,

    ReplyDelete
  19. Hivi huyu Dida ametokea maeneo ya Buguruni nini?

    ReplyDelete
  20. unatuonesha gari je nyumba unayo mbona hutuoneshi, hata hivyo sio vizuri lakini nadhani bado una akili za kitoto iko siku utakuja kuona kumbe ulikuwa mjinga kiasi gani. Mbona kina LADY JAY DEE wana wagari yenye thamani mara 10 ya la kwako lakini hata siku moja hajinadi kwa vitu kama hivyo.

    ReplyDelete
  21. model plz,
    maanake naona nusunusu iyo ride yako dada

    ReplyDelete
  22. aliyoyasema beauty touch in dar ni sahihi kabisa, Dida, hayo ni maneno ya kujiahami, kama issue nikuonyesha gari yako, ungeonyesha tu! na maneno mazuri, kuliko kuandika upuuzi huo, maadui waone sijui, inatuhusu nini?? hovyo?

    ReplyDelete
  23. HUYU DIDA NDO MAANA HATA NDOA ILIMSHINDA,AMEZIDI USWAHILI!GARI KITU GANI TENA HILO LAKE MBONA LA KIMASKIN KABISA!ONESHA BASI HATA MABAYA YAKO AU MAPUNGUFU YAKO!

    ReplyDelete
  24. JAMANI WATU WENGINE VP NYIE HAMMPENDI DIDA MNAFATA NINI KWENYE BLOG YAKE ,HII NDIO STYLE YAKE YA BLOG MWACHEN AFANYE ANAVYOPENDA NA KAMA UJUMBE UMEWAGUSA NDIO POA
    MSONYOOOOOOOOOO FOR ALL HATERS

    ReplyDelete
  25. yaani nimecheka mpaka basi! yaani amtumie Mungu email ya kumshukuru?! wewe Dida kweli micharuko unawachanganya watu mpaka wanachanganyika hawajui wanakushauri nini!
    haya kila la kheir katika kutuma email kwa faza God kumbuka kuomba cha maana na mimi usinisahau niombee mafanikio namimi nipate japo kibarua cha kuisaidia familia yangu maana sina kazi mi ni goli kipa ingawa sipendi sina jinsi(sio utani).

    ReplyDelete
  26. we ambae huna kazi sema mi nikupe kazi, unavyoonekana kupata kibarua ningumu, maana una mdomo wako tu! utakuwa mcharuko kama DIDA, kibarua masihara??? njoo uwe unatufulia chupi zetu, kwa siku 950, nauli na kula kwako sawa??

    ReplyDelete
  27. atume email kwa Mungu??? wewe beuaty touch hebu rudia ulichoandika. I think ni sawa dida alivyojieleza ni yeye na alishasema jamani yeye mswahili nyie wazungu humu msije, mtuache waswahili wenzie anatuburudisha

    ReplyDelete
  28. We anony wa October 22, 2010 2:47 AM, hata lady jaydee alijinadi kwneye blogu yake aliponunua nissan murano lake la rangi ya orange

    ReplyDelete
  29. mmmh chichemi mie

    ReplyDelete