MADUKA YALIFUNGULIWA.

Sunday, October 31, 2010 7 Comments

Dida umeliona ilo?
Mhhh jack mambo iko huku.
Snura kalifungulia duka bibi.

Winter na rose ndauka

7 comments:

 1. Wanawake wa Dar jaribuni kujistiri kidogo jamani! duh!

  ReplyDelete
 2. Na ni kweli biashara matangazo hasa ikikudodea..... Mpk kitenge mmekichakachua na kukishusha hadhi yake, nyie kweli mmekubuhu...!

  ReplyDelete
 3. mh! SIJUI ndio nitaitwa mshamba sijui ndio nitaitwaje, jamani mbona wadada maziwa yako nje kabisa? huyo jack ni kama hajavaa kabisa, mh! kuvaa kavaa yeye but aibu naona mie, mh! haya
  MUNGU AIMARISHE NDOA YA BIDADA, AWAPE AMANI NA FURAHA TELE.

  ReplyDelete
 4. Duh MUNGU awaurumie kwa kweli kwani limetimia neno la hamjui mlitenda wadada wa dar es salaam loooooooooooooooooooohhhhhhhhhhhhhhhh!

  ReplyDelete
 5. Acheni kutuaibisha wanawake wenzenu, ebu jistilini miili yenu. ni vema muwaonyeshe wanaume zenu chumbani.

  ReplyDelete
 6. hivi sikuizi ndo style kuacha mapaja nje.... mpaka mnatia kinyaa. Dida cute face by the way.

  mdau hapo juu umenifurahisha kusema wamechakachua kitenge. ni kweli kabisa. tena mshindwe na mlegee, kitenge vazi la heshma chekini traditional weddings za wanigeria wanavopendeza. jamani kama mmekuja disco. looh aibu zenu

  au hel ilikua haitoshi mtu ukaomba shosti wako akupe upande ushone, au umeokota matambara kwa kufundi hasa we jack sijui

  ReplyDelete
 7. wangekuwa wanaangalia pia kwny blog ya zeze jaman mishono watu wanaenda kwny k/party wamevaa vizur, wanashusha thaman ya ktenge, washenzi wakubwa. dida ulpendeza, kuna sherehe za kuvaa nguo hizo lakn si kwnye ktchen part, dida we km mzaz naomba ukakalshe chin hako ka lulu mana ni malaya mbwa.

  ReplyDelete