Most Popular Posts
-
AFUA SULEIMAN ATOKA NA MPYA "UNAJIDODO" BIBI LINAKUCHUKUCHA
-
SAMAHANINI KAMA NITAWABOA WALE WASOMI.SIO UGOMVI NI SWALI TU JIBU LINATAKA USHIRIKIANO USICHUKULIE KAMA MGOMO.
-
HAYA MANENO UNAWEZA KUNYWEA CHAI AHAAAAAA
-
MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI.... KHERI KWA KILA MTU
-
WADAU KWELI MIMI NI MTU MZIMA WALA SI KIPANDE NA SIJAFIKIA UTU UZIMA UOOOO SABABU SICHAMBII PANGA WALA SIPIGI DANADANA KWA MAKALIO,ILA NAPENDA NIWATOE HOFU NYIE MNAOJIFANYA MNANIJUA SANA KULIKO MAMA YANGU MZAZI NI HIVI NAMTAJA LIVE SABABU ANAJUA SIMUHOFII WALA SIMUOGOPI NA SINA SHARI NAE ILA AKIITAKA KWANGU ATAINUNUA KWA BEI RAHISI BILA YA VAT,SINTA NAKUTAJA NA NAJUA HUWEZI CHAMBANA NA MIMI HATA ROBO MAANA NITAKUPA UMAARUFU WA MUDA MCHACHE MAANA HATA WA KUTATIZA KATIKATI YA MSAFARA WA RAISI UTACHUKUA MUDA,NYIE MNAOSEMA NAMUOGOPA SINTA ANALIJUA ILO KUWA SIMUOGOPI HATA KIDOGO NA NIKITAKA KUCHAMBANA NAE SI HUMU NAMTAFUTA KWA GHARAMA ZANGU TUCHAMBANE FACE TO FACE KWA HIYO SINTA FANYA YAKO ANDIKA YAKO UMO KWENYE BLOG YAKO KWELI MIMI MTOTO WA KISWAHILI SINA UZUNGU HATA ROBO ILA UKINICHOKONOA UTAJUA KAMA MIMI MZUNGU AU MZARAMU NYIE WAZUNGU ENDELEENI NA UZUNGU WENU KWANGU NDIO KWANZA MKOKO UMEALIKA MAUA,KUMBUKENI MATUSI YENU HAYANITOI KOPE NDIO KWANZA ZIMENISIMAMA KAMA KIBANDA CHA SIMU.
-
HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA.
-
MY WEDDING DAY....
-
THE AFTERMATH...
-
Uzinduzi wa AIBU YAO AIBU YETU ya Hassan Ally, ulivyofana Vatican city Sinza
-
HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA @SEACLIFF BOFYA TUUU....
Kumbu Kumbu
BLOG MBALI MBALI
VYOMBO VYA HABARI
DOUBLE D ENTERTAINMENT COMPANY

Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
Mashallah mtoto ana afya nzuri, hongera kwa kukuza
ReplyDeleteHiki kitoto unakiharibu utakuja kumlaumu nani ukoneshe vijikufuli vyate
ReplyDeleteDida una mtoto mzuri sana. Mungu amlinde na akupe maisha marefu ili umlee mtoto wako vyema. Much love. Lucy.Arusha
ReplyDeleteMashalah dida tunakufagilia una mtoto mzuri mungu akukuzie maheters watajibeba kwanza bachela muhangaikaji mimi nakupenda sana watajiju tunapenda vijimaneno kuntu ivyo uwe unatupa kila siku atakae ona kaguswa atasogea lina masaki
ReplyDeleteJamani mtoto wako mzuri sana Dida Mungu amtunze ampe afya njema. Keep it up Mama Luv u
ReplyDeleteThanks nawapenda pia msisite niko pmj na nyie luv u all
ReplyDeletemama Didaa hapo mwake mwanao mrembo yaani waukweli, namkubali. hongera kwa kukuza bi dada.
ReplyDeleteby Esperance wa A Town
wajina wangu......kachuni mashallah
ReplyDeletemodel wangu kua upesi!!!
ReplyDeleteMWANAO MZURI AFYA NZURI ILA KUNA MDAU LINA HAPO JUU KASEMA WEWE BACHELOR SI KWELI DIDA ANA MUME WAKE NA KITCHEN PART YAKE ALIVAA NGUO MBILI ILA NDO KUNA UVUMI ANADAI TALAKA ILI AOLEWE MKE WA TATU WA MZEE YUSUPH TULIA KWA MUMEO BIBI WANAUME HAWAISHI WOYE AKILI ZAO SAWA WALA USITAMNI WA MWENZIO BIBI NAJUA HII HUTAPOST ILA MSG SENT NA UKWELI UNAUMA RAMADHANI NJEMA
ReplyDeleteanon mie hizi ndio zangu usihofu kusema sitapost comment yako yoyote labda ni kupe kwa ufupi ukewenza kwangu hauna nafasi na huyo mzee na tumai ni kioo cha jamii mie na ni kama shimo la taka kila ajae anatupia lake mzee yusuph ni kikazi namfahamu toka hana kitambi nishangae leo katoka kitambi usihofu coments zako changamoto kwangu krb.
ReplyDeleteDida ishi maisha yako utakavyo, lenye kukupa raha furahi nalo, lenye kuhuzunisha kuwa na huzuni nalo, si ndio ubinadamu? mwisho wa siku maisha yako ni yako usijali watu wasemayo! Hao hao wanaosema hili mambo yakiwa mazuri watasema yakiwa mabaya kwako watasema pia. Binadamu hawana wema kula raha ishi utakavyo. Hao wanaojidai wana waume wako kama picha tu wengine na wanatamani maisha yako, wanajikausha. Ndoa bila raha ni karaha wanatafuta sifa tu nje ya ndani wanayajua wenyewe. Cha msingi fanya kazi kwa bidii, somesha mwanao vizuri na Mungu usimsahau kumwomba na mumshukuru kila siku. I love you.
ReplyDeleteDida we kaza buti na mambo yako,na kama huyo anasema umemchukua mzee yusuph huo ni ulimbukeni wa bwana yake,anatakiwa kudeel na mumewe na sio wewe,coz hajui huyo bwana kakuambia nini?Sasa wote wanaokuombea mabaya mungu kaamua kukufungulia na kakupa wako
ReplyDeleteluv u always
Mama Kayla
una binti mzur dada dida...mungu akukuzie inshalah
ReplyDelete