Mtanange waanza Big Brother.... Tatiana amkaanga Mganda!

Tatiana ambaye ndio Head of tha house, ana nafasi ya kujiokoa katika kupigiwa kura na kumpendekeza mwingine badala yake.
Mshiriki huyo alijitoa na kuweka Hannington katika kura za kutolewa Jumapili.
Sababu kubwa ya kumwingiza Mganda huyo kwenye kikaango cha kutoka kwamba, anatabia za kitoto.
0 comments: