MUNGU NI MWEMA ACHA MAISHA YA ENDELEE KWA UWEZO WA ALLAH. ...

Sunday, November 02, 2014 12 Comments

12 comments:

  1. Nimeamin penye nia pana njia

    ReplyDelete
  2. Endelea mazoezi na diet you are on the right track girl. You look amazing.

    ReplyDelete
  3. dida unabania sana comments za watu. ndio maana hauna mashabiri wengi kwenye globu yako. watu wote tumehamia mtaa wa kwanza kwa ceo sintaaaaaaaaaaaaa. wewe jipigishe tu mapicha yako hakuna hata wa kukuangalia zoazoa we.

    ReplyDelete
  4. Kabisa Mungu ndo kila kitu

    ReplyDelete
  5. SASA UNATAKA NIWEKE COMMENT ZISIZO NA MAANA UMU USHASEMA UMEHAMIA MTAA WA PILI UKU UNACHUNGULIA UNATAKA NINI KIPI KIMEKULETA NAJUA UNAIPENDA NA UNAIFAGILIA BAKI UKO ACHA NIFANYE YANGU NA MAISHA YANGU USIANGALIE WINGI WA COMMENT ANGALIA FOLLOWERS BABU ZOA ZOA NILIMZOA BABAKO UTABAKI NA KIDAKA TONGE HUNIKONDESHI KWA MANENO NITAKONDA KWA DIET MILUZI YA MBWA HAINUSUKUTUI NAFSI PUMZIKA NALO UKIWA UNANIANZA VAA TITE KWA MPAMBANO....BY THE WAY MSALIMIE MAMAA SINTA...

    ReplyDelete
  6. Safi umemjibu vzr sn Dida.

    ReplyDelete
  7. Haaa haaa haaaa our Dida tupia mapicha ya ukweliii tupo tunaziangalialila siku na tina zi save pocha zako kwenye ma galaxy yetu babu weee tuna mpenda Dida na tupo wengiiiiiiiiii hatuishi hatukomi kumpenda our Dida D.I.D.A didaaaaaaa nambari one Tanzania. Potea kabisa tubaki ma VVIP Very Very Important People. Mwaaah Didaaaaaaa

    ReplyDelete
  8. Kwa kweli amsalimiage tu mamaa Sintah we luv you Didaaaaaaa

    ReplyDelete
  9. Huyo Sinta anaandika comments 100, au 200 ukizihesabu hazifiki hata 50. Amebaki kurudiarudia comment za wasomaji akijidai topic mpya. Aweke picha zake na yeye kama wenziwe wanavyoweka za kwao wanajitanua majumbani mwao. Amewadanganya watu ana mimba kisa iga iga mpaka leo mtoto hajazaliwa. Ingekuwa kweli hata mashost zake kwenye mablogu wangempa hongera za kujifungua lakini kwa sababu ni mimba fake atabakia hivyo hivyo privacy privacy. Angekuwa na mimba kweli angefanya hata baby showers ya kujilazimisha ili tu aonekane na yeye yumo.

    Dida usibanie hii, yeye kila siku anaweka comment za kuwasema wenziwe bila sababu, tukimwambia ukweli anabania comment zetu, acha mashabiki wake watoto wa shule anaowadanganya kila siku waisome hii.

    ReplyDelete
  10. DIDA UNAPENDEZA SANA MAMBO YAKO YAKO JUU. ILA MBONA KILA SIKU PICHA NI SEHEMU MOJA UKIWA NDANI VP?

    ReplyDelete
  11. Ahahah mmemjibu vzuri saana huyo shankupe.huyo sintah nimnafki saana kutwa kuachia koment zakumtusi dida ilandohivyo hawezi kujifananisha na dida hata sikumoja.

    ReplyDelete