WEEKEND NJEMA. ...

Monday, October 27, 2014 6 Comments

6 comments:

  1. duuu umemechisha vizuri

    ReplyDelete
  2. Unaenda kwa bwana ...msalimie bwana shemeji

    ReplyDelete
  3. out of topic dada dida naomba ushauri nakuona we kamanda unaweza nipa mawazo,nlikutana na kaka mmoja tukaanza mahusiano baada ya mda kidogo nikajua anamahusiano na dadamwingine tena wawil du nkamuliza akakana mmoja kat ya wale wawil akanipigia cim akantukana nkamuliza akaleta had ndugu zake kukana juz hapa cha ajabu yeye na uyo mwanamke aliekuwa akimkana wamentukana sana kwa cim na wananambia wako haneymoon sina raha simtak kabisa uyu mwanaume dada ila unanishauri nifanyaje?

    ReplyDelete
  4. pendeza sana dada dida.. picha zaid za birthday ndo tunasubir. nakupenda hada maumwa

    ReplyDelete
  5. I like the colour of ur shoes! luvly...........!

    ReplyDelete
  6. Hongera dida Uko vyema .

    Dada unaoomba ushauri hivi unata ushauri gani? Mpaka hapo huoni Kama Huyo banaako mpuuzi maana amezidi ujinga?

    Achana nae kabisa. Tena usihadithie watu maana watakucheka. Pole na anza maisha mapya!!! Jitambue zaidi

    ReplyDelete