YOTE MAISHA,,,
MAMA MAGAZETI ACHAFUA HALI YA HEWA,AKOSA RAHA KISA NDOA

nyota
wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwamba hawezi kuoa
kamwe, inadaiwa kumchefua mwandani wake, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful
Onyinye’
Kwa
mujibu wa mtu wa karibu wa mastaa hao, Wema hakufurahishwa na habari
hiyo kwa sababu anajua yeye ndiye mke mtarajiwa wa Diamond.
Ilidaiwa
kwamba, Wema alijikuta akipoteza ile furaha ya kwamba wawili hao
wangefunga ndoa mwezi huu (Agosti) kama ilivyotabiriwa na mnajimu
maarufu Bongo, Maalim Hassan Yahya Hussein.
.png)






kwahiyo unataka awe kama wewe!
ReplyDeleteDIDA JAMANI NAOMBA UTUWEKEE ONLINE MAHOJIANO YAKO NA MGENI WETU WA LEO MALKIA LEYLA RASHID WENGINE TUMEKOSA KUSIKILIZA TULIKUWA KAZINI MUDA HUO. NIMESIKITIKA KUYAKOSA NAMPENDA SANA LEYLA RASHID PLEASE DIDA.
ReplyDelete