MANENO HAYO....

Wednesday, July 23, 2014 4 Comments

Baada kudai katumia mkorogo wa bei mbaya kubadili ngozi yake sasa Vera Sidika ahamia 'kifuani'

Baada ya kudai ametumia mkwanja mrefu sana kujichubua na kubadili rangi yake ya ngozi ili kuwa mweupe sasa mrembo aliyejinyakulia sifa kwa umbo lake matata na video qeen anayewakilisha +254 Vera Sidika aja na nyingine baada ya kubadili matiti yake ili yawe na mvuto!

Kupitia Instagram,Vera amatupia picha inayoonyesha kifua chake kwa karibu na kutiririka alichofanya bila hofu! Hii ni picha aliyotupia na alichoandika;


“Feels good to be back. Had really missed Nairobi. Now…y’all be nice and say hello to my new twins  #FakeBoobAlert #CompleteFakenessLoading #NoMorePaddedBras #ActuallyNoBrasAtAll #Implants #CantWaitForThemToDropAndPopBetter #SexyKenyanGirl #WithMoneyAllThingsArePossible #IfYouFlatChest #YouCanBuyYourselfSomeBoobs

4 comments:

  1. Hovyooo ka mchuzi wa jogoo, ndo nini kumkosoa Mungu, hajapendeza hata tindi kama anayonyesha wanajeshi wa marekani kwendraaa kule

    ReplyDelete
  2. Anoy hapo juu mimekupenda. Atakuwa anyonyesha waasi wa Sudani ya kusini. Yote haya yana mwisho. Haoni wema ameshaharibika uso bz of mikorogo??? acha tuone. Nyambafuuuuuu

    ReplyDelete
  3. mmh sasa atampenda nani kwa kujiharibu?mbona alikuwa na muonekano safi

    ReplyDelete