DIAMOND MUNGU AZIDI KUKUFUNGULIA KWAKWELI....

Tuesday, July 08, 2014 0 Comments

BIRTHDAY YA MAMA YAKE DIAMOND AMZAWADIA GARI LA MILIONI 38

Ingawa Diamond hayupo Tanzania lakini hakungoja mpaka arudi ndipo akabidhi zawadi hii badala yake alichokifanya ni mara baada ya kukamilisha kila kitu kinachoihusu gari hii Diamond Platnumz aliwapatia mameneja wake kwa ajili ya kuiwasilisha kwa mama yake. 
Ni Toyota Lexus New Model ambapo Babu Tale amesema imegaharimi milioni 38.1 ambapomilioni 35 imetumika kulinunulia gari hilo mpaka kuingia Tanzania na Milion 3.1 imetumika kulipamba na kuweka Music System pamoja na seat Cover

0 comments: