MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI UMEKARIBIA UMEJIANDAA VIPI SHUGHULI NI HII...

Thursday, June 19, 2014 8 Comments

8 comments:

  1. piga picha mpaka chini tuone zinakaaje huko chini mumy.

    ReplyDelete
  2. tuletee hizo hijab na twambie inadvance shs ngapi tujitayarishe mapema
    ashante my dia

    ReplyDelete
  3. uwiiii Dida hizo kitu ni nzuri mnoooo na umependeza mno.

    ReplyDelete
  4. Hayo manguo yanaitwaje na unayo dukani kwako mi nazitaka sasa hivi

    ReplyDelete
  5. Dida unazo hzo nguo?

    ReplyDelete
  6. Wadau mnaotaka hizo nguo kwan mnatumia cm za aina gani mpaka hamjui hayo mambo!!!??? Hiyo nisura tu ya dida imewekwa tu kwenye hz frem za nguo

    ReplyDelete
  7. Wanatumia nokia touch ila zina net kama kawa sema problem iliopo azikubali kudwnloud mastyle pic hahahahaha

    ReplyDelete
  8. Ila umependeza bi pyeeedaa na uzuri wako unachangia

    ReplyDelete