WASHINDI WENGINE TENA WA VITENGE VYA DSTV

Friday, May 02, 2014 0 Comments

Ukiwa ni msimu wa zawadi za vitenge  toka DSTV "So Much More" kwa mashosti wanaofuatilia vizuri zile tamthilia mbalimbali leo tunakukutanisha na washindi wengine tena waliojibebea vitenge murua na vya thamani....

MSHINDI : BI MWANNE KHAMIS (Mkazi wa Mbezi ya Kimara) Hongera sana dada



MSHINDI : SOPHIA (Hongera sana dada)




MSHINDI : AGNESS (Mkazi wa Kimara Dar es salaam) Hongera sana dada



Kwa niaba ya DSTV tunapenda kuwashukuru wote ambao mmejishindia vitenge vya wax toka DSTV. Na kwa wale wengine basi tuendelee kutazama sana vipindi vingi na tamthilia za DSTV kwani kuna mengi mapya yanakuja. Insha Allah...

0 comments: