WEEKEND DEFINED JUST THE TWO OF US....

Sunday, April 13, 2014 6 Comments

6 comments:

  1. Weweee mm love nyieee sanaaaa!!!!! Pendeza mnoooo, mahaba niuweeeee..wenye wivu wafeeee

    ReplyDelete
  2. Dida
    shikamoo dada yngu pole na majukumu ya kazi, na pia mmependeza na
    mumeo, samahani mpendwa kosa halitajirudia tena, nakuombea kwa mungu
    ailinde ndoa yko mdumu katika ndoa na mfanikiwe kupata mtoto. Ameen
    naamini moyo wko utakuwa mweupe.

    ReplyDelete
  3. Starehe haitaki mahesabu mengi only pay and enjoy.

    ReplyDelete
  4. dida umependeza sana na kigauni chako. congratulation na huyo ezden mzuriiiiii

    ReplyDelete
  5. Hahaaa eti Edzen mzuri, nyoo tayari umeshamtamani, msione vya watu

    ReplyDelete
  6. Mahaba nitibue kama Bunge la Katiba, Mahaba nipe pressure kama Helkopta ya Kova, Mahaba nichanganye kama mafuriko ya Dar, Mahaba nipige kama Bomu la Arusha, Mahaba niuueeeeeeeee

    ReplyDelete