AISEE YOU NEE TO TAKE CARE OF YOUR HEALTH. NAKUNASIHI KIROHO SAFI. HIVYO VYAKULA UNAVOONESHA NI VERY UNHEALTHY UKITOWA HIYO PROTEN NA SALAD. JARIBU SANA KULA PROTEIN NA FIBER ILI NA WENGINE WAKUIGIZA MY LOVE. HALAFU KUNYWA MAJI BADALA YA HAYO MASODA NA JARIBU KULA FRUITS KAMA KITINDA MLO. SITAPENDA KUKUONA UMEPATA MARADHI KAMA KISUKARI NA PRESSURE MY DEAR.NAJUA KIKWETU SAHANI IKIJAA VYAKULA KAMA HIVYO NI ISHARA YA FURAHA NA KUWA UNA MKWANJA MREFU. LAKINI KUMBUKA KUWA AFYA NI TAJI ALOVIKWA MTU NA HAKUNA ALIONAE ISIPOKUWA MGONJWA.
Napenda unaishi vizur Dida tunataman mpaka bongo kma ulaya .mbna ukiwa na pesa mambo ndo kma ayo big up Dida mmeo anatutoa roho nmegumdua anapenda wanaume wazur natania .mwaya
mwanamke wala mashallah.hicho kitumbo kivalie corset basi
ReplyDeleteNapenda sanaaaaa ur life style Mashallah mmpendeza sanaaaaa
ReplyDeletem starting 2 b obsessed with u guys!
ReplyDeletePendeza mashaallah, hapo wapii jamaniii tujuzeni na cc tujitupeee!!!! Watu wanatamiii lakini ndo hawawezi mpo juuuuuu mamiii
ReplyDeleteDida umependeza sana, mimi ningesuka hizo nywele maranyingi, swaga wewe na mr. ziko on point. hongereni sana.
ReplyDeleteDownload captain america 2 : www.captainamerica2thewintersoldier.com/
ReplyDeletewaoooooo mmemendeza sana wapendanao nice couple
DeleteAISEE YOU NEE TO TAKE CARE OF YOUR HEALTH. NAKUNASIHI KIROHO SAFI. HIVYO VYAKULA UNAVOONESHA NI VERY UNHEALTHY UKITOWA HIYO PROTEN NA SALAD. JARIBU SANA KULA PROTEIN NA FIBER ILI NA WENGINE WAKUIGIZA MY LOVE. HALAFU KUNYWA MAJI BADALA YA HAYO MASODA NA JARIBU KULA FRUITS KAMA KITINDA MLO. SITAPENDA KUKUONA UMEPATA MARADHI KAMA KISUKARI NA PRESSURE MY DEAR.NAJUA KIKWETU SAHANI IKIJAA VYAKULA KAMA HIVYO NI ISHARA YA FURAHA NA KUWA UNA MKWANJA MREFU. LAKINI KUMBUKA KUWA AFYA NI TAJI ALOVIKWA MTU NA HAKUNA ALIONAE ISIPOKUWA MGONJWA.
ReplyDeleteNapenda unaishi vizur Dida tunataman mpaka bongo kma ulaya .mbna ukiwa na pesa mambo ndo kma ayo big up Dida mmeo anatutoa roho nmegumdua anapenda wanaume wazur natania .mwaya
ReplyDeleteMumependeza sana
ReplyDeletewow,always beautiful..dida and hubby...luv u guys
ReplyDeleteAll the best
ReplyDelete