Thursday, April 17, 2014 5 Comments
Mashaallah Mola awape umri mrefu wote !Namwelewa shem surprise inapeleka moyo mbio . Dida nakusifu unajua unaijenga nyumba yako hayo ndo mapenzi mwali wangu . Mola awape mema na baraka na awaepushie viwavijeshi
In short nmependa sana yan imetulia Sana Dida
Mlipendeza na party ilinoga kwa kweli.
Duuh!kupendana raha sana jamani,kila la kheri
Dida umependeza sana na hobby wako miaka mianane hapana chezea mamaa wa mitikisiko.nataka kujua hiko kikabati cha wine kinafungukia wapi.
Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
Mashaallah Mola awape umri mrefu wote !
ReplyDeleteNamwelewa shem surprise inapeleka moyo mbio . Dida nakusifu unajua unaijenga nyumba yako hayo ndo mapenzi mwali wangu . Mola awape mema na baraka na awaepushie viwavijeshi
In short nmependa sana yan imetulia Sana Dida
ReplyDeleteMlipendeza na party ilinoga kwa kweli.
ReplyDeleteDuuh!kupendana raha sana jamani,kila la kheri
ReplyDeleteDida umependeza sana na hobby wako miaka mianane hapana chezea mamaa wa mitikisiko.nataka kujua hiko kikabati cha wine kinafungukia wapi.
ReplyDelete